Nimeona nitoe huu uzi, maana wanandoa wengi wanachepuka sana. Kama wewe ulishawahi kufumaniwa laiv, ama sms kwenye simu ama audio zilizorekodi maongezi yako na mchepuko, ama vyovyote vile. Ili mradi tu ilileta tafran na majuto kwenye uhusiano wako. Just funguka ya moyoni ushare na wenzako
Mie nilifumaniwa na mama mkwe kabint form 1 mie form 4 nilikula vitasa ndani ya ghetto kila nikitafuta upenyo nipite nisepe wapiiih!! Mama kajaa mlangoni tena bonge balaa ..alitaka kuniua si kwa kunidunda kule