Kama Uliangalia kwa Mihemko, Pole! Refa Alikuwa Sahihi

Kama Uliangalia kwa Mihemko, Pole! Refa Alikuwa Sahihi

Uliangalia mechi?Anayeongeza dakika nani?Mwamuzi wa akiba ndio alionyesha dakika za nyongeza.Mashujaa kipindi cha pili walikuwa hawachezi mpira bali vurugu na kulala lala tu.Kipa alipewa kadi ya njano kwa kupoteza muda, ya pili kwa kuingiza mpira mwingine Simba walipotaka kupiga kona.
Ivi wanaolalamika ivi ni mashujaa wenyewe au CAS FC?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kwa mechi zilizobaki ilimradi tushinde tu bila kujali goli limefingwa kwa mguu, kichwa, pua, pumbu, mkono, na hata makalio.

No mara waaa!!
 
Kwa mfano baadhi ya watu wanailalamikia penati ya yule alieunawa.
Ukweli Ile ilikua penati halali kabisa.
Ukitaka kujua uhalisia wake hebu tazama clip yake utaona reaction ya Shabalala na reaction za watazamaji waliokua nje uwanjani upande wa tukio jinsi walivyopiga kelele Kwa pamoja kuashiria kua yule jamaa wa mashujaa aliunawa mpira.
 
Ushauri kwa Wanayanga na wapenzi wa timu zinazoonewa ili marefa wachezeshe mechi kwa haki waamuzi wa leo wavunjeni miguu.

MTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE.!
 
Ukiangalia mpira kwa mihemko utaona refa aliibeba Simba, lakini ukituliza fuvu ukaufuatilia kwa kutuliza fuvu hatua kwa hatua tukio kwa tukio, utaona wazi refa na wasaidizi wake walikuwa makini sana na mchezo wa leo pia hongera sana kamisaa wa mechi na mtunza muda. Ushindi halali
Hawa nyani wa utopolo waliangalia huku wanafikiria mweleka waliopiga kule CAS, walikuwa wanaona duble duble.
 
Ukiangalia mpira kwa mihemko utaona refa aliibeba Simba, lakini ukituliza fuvu ukaufuatilia kwa kutuliza fuvu hatua kwa hatua tukio kwa tukio, utaona wazi refa na wasaidizi wake walikuwa makini sana na mchezo wa leo pia hongera sana kamisaa wa mechi na mtunza muda. Ushindi halali
Mpongeze pia Man of the match
 
Wanashangaa DK 15 ,unajiuliza hivi hawa mashabiki maandazi huwa wanaangalia hata ligi zingine , nini cha ajabu Kwa Leo kuongezwa DK 15 wakati kiuhalisia ni sahihi, Ule upuuzi wa kipa wa mashujaa unaanzaje kuutetea .
Mkuu bila hata kuangalia ligi zingine, hiyo ni common sense tu. Upoteze muda dk 20 upewe extra dk 10? Unatumia kiungo gani kufikiri?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom