Kama ukiambiwa usubiri baada ya muda flani watakuita, kuna haja ya kuwasiliana na aliyekuahidi?

Wakumbushe tu mkuu. Kama una namba zao wapigie watakujibu tu. Haya mie ilikua hivohivo kwenye interview flan nikaona kimya nikawapigia, wakanijibu baada ya siku nne mbele nikaitwa. Kwahiyo hakuna cha ajabu kama muda waliokuahid umepita. We wapigie tu.
NB: Ni vema kupiga sim muda wa kazi.
 
Yes kama muda wa kutosha umeenda bila taarifa fuatilia ila tumia ustaarabu. nza na email kama unayo then twanga simu kama hakuna majibu.
 
Back
Top Bottom