Kama ujui jua!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,943
Reaction score
9,457
Mbu na ujanja wake hawezi kupenyeza mshare wake katika kichwa cha Uume wa wanamme!Sababu kwakuwa hakuna vishimo vya vinywereo!
 
KK ni vinywereo au vinyweleo? Mshare au mshale? Wewe umeyajuaje hayo?
 
Mbu na ujanja wake hawezi kupenyeza mshare wake katika kichwa cha Uume wa wanamme!Sababu kwakuwa hakuna vishimo vya vinywereo!
masahihisho:1. ni HUJUI sio ujui 2. MSHALE sio mshare 3. WANAUME sio wanamme 4. VINYWELEO sio vinyereo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…