"Makini sana" maana yake nini?Watanzania turudi kwenye ukweli na tuache kulishwa propaganda ,tunaambiwa eti Mwalimu Nyerere (R.I.P) alikuwa makini sana kwenye mambo ya madini na maneno mengine meeengi!!
Sasa tujiulize,mgodi wa Almasi mwadui ulikuwepo tangu nchi unapata Uhuru mwaka 1961 mpaka Nyerere anaachia ngazi mwaka 1985,mbona hatuelezwi mgodi huu ulileta faida gani kwa taifa?
Mbona hatuelezwi mikataba yake ilikuwaje?
Tunataka tuujue uzalendo wa Mwalimu Nyerere katika mgodi huu wa Almasi mwadui ........na kwa nini hauguswi na tume zote za serikali,yaani tume zote ni Tanzanite na Dhahabu,almasi vipi? Hasa ya Mwadui?
Mikataba ya Serikali ya Nyerere na Mwadui ilikuwaje na ikoje?
Kama huwezi kutuambia maana unayoielewa wewe ya "makini sana" mjadala huu hauwezi kwenda popote.Kasome kamusi
Sijui hujaelewa nini,labda wewe ni wale wanaojua kusoma na kuandikasijaelewa unataka kuhalalisha nini!
kwamba, hata kama nyerere aliboronga ndo iwe nafuu ya Chenge, washirika wake na chama dada chote?
nadhani ulikusudia kuupeleka uzi huu kwenye jukwaa na UTANI
Basi ondoa neno makini sana halafu endelea na mjadalaKama huwezi kutuambia maana unayoielewa wewe ya "makini sana" mjadala huu hauwezi kwenda popote.
"Makini sana" kwako inaweza kuwa "kukosa umakini sana" kwa mwingine.
Hata kama mnatumia kamusi moja.
Siwezi kuondoa mimi neno uliloweka wewe.Basi ondoa neno makini sana halafu endelea na mjadala
Mkuu Kinembe,Sijui hujaelewa nini,labda wewe ni wale wanaojua kusoma na kuandika
Nimechangia.Haya changia sasa,naona unahangaika na maneno mawili kwenye mada yenye maneno mamia,
Ipi? Hujaitaja.Maana yake ni hiyo uliyoiona hapo kwenye mada
Mkuu ni kila mwaka.Hauwezi kuwa updated kila jambo mkuu hata ungekuwa mwandishiMwadui walitangaza faida lini