chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,959
- 20,528
Watanzania turudi kwenye ukweli na tuache kulishwa propaganda ,tunaambiwa eti Mwalimu Nyerere (R.I.P) alikuwa makini sana kwenye mambo ya madini na maneno mengine meeengi!!
Sasa tujiulize,mgodi wa Almasi mwadui ulikuwepo tangu nchi unapata Uhuru mwaka 1961 mpaka Nyerere anaachia ngazi mwaka 1985,mbona hatuelezwi mgodi huu ulileta faida gani kwa taifa?
Mbona hatuelezwi mikataba yake ilikuwaje?
Tunataka tuujue uzalendo wa Mwalimu Nyerere katika mgodi huu wa Almasi mwadui ........na kwa nini hauguswi na tume zote za serikali,yaani tume zote ni Tanzanite na Dhahabu,almasi vipi? Hasa ya Mwadui?
Mikataba ya Serikali ya Nyerere na Mwadui ilikuwaje na ikoje?