kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Aliwataja baadhi ya makamanda, kuwa wamepokea hongo ambayo yeye aliikataa.Kama tunamuamini Makonda,kwa nini aliowatuhumu wasikamatwe na takukuru wakahojiwa?
Sifa kubwa ni kwa RC wa Mwanza na RPC wake. Zoezi la kimyakimya limezaa matunda huko Mwanza. Hili la huku Dar la kutangaza watu kwenye media halikua sahihi. Limewapa mwanya watu kujiandaa. Nafikiri haikuwa sahihi.Watu wameshamstukia anyayoongea yote ni kutafuta misifa ili apewe cheo kikubwa zaidi ya ukuu wa mkoa. Ndio maana anafanya mambo yaliyo nje ya mamlaka yake. Na fitina juu.
Naam, Mwanza wamewafundisha kazi makonda na sirro.Sifa kubwa ni kwa RC wa Mwanza na RPC wake. Zoezi la kimyakimya limezaa matunda huko Mwanza. Hili la huku Dar la kutangaza watu kwenye media halikua sahihi. Limewapa mwanya watu kujiandaa. Nafikiri haikuwa sahihi.
Vita hii ipiganwe kwa njia sahihi kama walivyofanya Mwanza. Mtuhumiwa anavamiwa tu.
Mbona hawakamati na kuwahoji polisi???Makonda tunataka kuwajua hao ni wauza Manawa au ni akina nani.
Kama wamefikia hatua ya kukuhonga si waharifu hao? Mbona hujatwambia hatua ulizochukua? Na Sirro pia ulimtaja kuchukua hiyo hongo.
Shida nini?
Vita ya Dawa au Siasa.
Hata kama wamefanya hiyo kazi kiufundi Bali hawatajulikana kwasababu kazi hiyo hawajaifanya kama mkuu wa kaya anavyotaka ifanywe.Sifa kubwa ni kwa RC wa Mwanza na RPC wake. Zoezi la kimyakimya limezaa matunda huko Mwanza. Hili la huku Dar la kutangaza watu kwenye media halikua sahihi. Limewapa mwanya watu kujiandaa. Nafikiri haikuwa sahihi.
Vita hii ipiganwe kwa njia sahihi kama walivyofanya Mwanza. Mtuhumiwa anavamiwa tu.
Hao wanania ya kutokomeza kweli.Sifa kubwa ni kwa RC wa Mwanza na RPC wake. Zoezi la kimyakimya limezaa matunda huko Mwanza. Hili la huku Dar la kutangaza watu kwenye media halikua sahihi. Limewapa mwanya watu kujiandaa. Nafikiri haikuwa sahihi.
Vita hii ipiganwe kwa njia sahihi kama walivyofanya Mwanza. Mtuhumiwa anavamiwa tu.
Sisi tunataka tuonekane tunafanya kazi ili tupate sifa.eboooohHata kama wamefanya hiyo kazi kiufundi Bali hawatajulikana kwasababu kazi hiyo hawajaifanya kama mkuu wa kaya anavyotaka ifanywe.
Yeye anataka ifanywe kwa makelele hadi watu waliopo manerumango wasikie,kwamba Kuna kazi inafanyika,sasa kama wamefanya kimya kimya imekula kwako.Hongera Madriver endelea kubweka wanyama wataziba masikio wakikusubiri uwakamate.
mimi nadhani shida ya makonda alifikiri vita dhidi ya dawa za kulevya ni politics, Waandishi wa habari mtusaidie kuwahoji makamanda wa polisi Siro &Mangu kama walishirikishwa ikiwa ndio wamepoteza uelewa wa taaluma yao kama hapana wasidandie gari kwa mbele maana kuna kesho makonda ataondoka je wataendelea kutangaza au watakaa kimya?Aliwataja baadhi ya makamanda, kuwa wamepokea hongo ambayo yeye aliikataa.Kama tunamuamini Makonda,kwa nini aliowatuhumu wasikamatwe na takukuru wakahojiwa?
Wewe ni mchocheziKitengo cha intelegensia dar kinafanya kazi ya kumchunguza wanao mtukana raisi na kutoa uchochezi..
Ni moja ya kazi za jeshi la polisi kuna ubaya kusema moja ya kazi zaoWewe ni mchochezi
AhahahhaahaaaaaSisi tunataka tuonekane tunafanya kazi ili tupate sifa.ebooooh