Mimi nadhani tumelogwa na kama hatujalogwa wa Tz uwenda tukawa moja ya taifa nafiki ktk uso wadunia.
Malumbano ni makali na kila mwananchi anatoa kilio cha mguno wa tofaut na ukifuwatilia aina ya mguno utagunduwa jambo moja tu unafiki na uzandiki. Tumejisahau sana.
Ukianzia vilio vya bomoa bomoa watu wanalia wanasahau ardhi waliipataje hawasemi ukweli wanamtumia shutuma Rais
Nenda kwa wanasiasa wamesahau kusema ukweli wa namtupia shutuma Rais.
Nani asie juwa hoja zakuibuwa uozo serimalin bungeni zilikuwa na nia ya wanufaika kuwapa kitu kidogo wa bunge. Uchafu uchafu sasa kila kitu kwa mstari watu wanalia.
Hali ngumu imeanza baada ya deals kuzuiwa kila mtu aishi kiuhalali.