Mimi nadhani tumelogwa na kama hatujalogwa watanzania huenda tukawa moja ya taifa nafiki katika uso wadunia.
Malumbano ni makali na kila mwananchi anatoa kilio cha mguno wa tofauti na ukifuwatilia aina ya mguno utagunduwa jambo moja tu unafiki na uzandiki. Tumejisahau sana.
Ukianzia vilio vya bomoa bomoa watu wanalia wanasahau ardhi waliipataje hawasemi ukweli wanamtumia shutuma Rais.
Nenda kwa wanasiasa wamesahau kusema ukweli wa namtupia shutuma Rais.
Nani asiyejua hoja zakuibua uozo serikalini bungeni zilikuwa na nia ya wanufaika kuwapa kitu kidogo wabunge. Uchafu uchafu sasa kila kitu kwa mstari watu wanalia.
Hali ngumu imeanza baada ya deals kuzuiwa kila mtu aishi kiuhalali.