Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Oct 6, 2018 #41 KIOO said: Hebu nifafanulie mkuu jamaa gani hao...? Click to expand... Mateja huku kwetu Uswahilini...
KIOO said: Hebu nifafanulie mkuu jamaa gani hao...? Click to expand... Mateja huku kwetu Uswahilini...
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,963 Oct 7, 2018 Thread starter #42 Bishop Hiluka said: Mateja huku kwetu Uswahilini... Click to expand... Hahahahah, wanatamani kuzaliwa mbwa ulaya. Kweli kabisa mkuu.
Bishop Hiluka said: Mateja huku kwetu Uswahilini... Click to expand... Hahahahah, wanatamani kuzaliwa mbwa ulaya. Kweli kabisa mkuu.
MzaramoTz JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 1,873 Reaction score 3,096 Oct 8, 2018 #43 Capitano said: Umbwa kaenda shule huyo weweeee Click to expand... Hapa kwetu wapo watu wameenda shule na bado matendo yao hata mbwa wana afadhali mkuu.
Capitano said: Umbwa kaenda shule huyo weweeee Click to expand... Hapa kwetu wapo watu wameenda shule na bado matendo yao hata mbwa wana afadhali mkuu.
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,963 Oct 8, 2018 Thread starter #44 MangoFarm said: Hapa kwetu wapo watu wameenda shule na bado matendo yao hata mbwa wana afadhali mkuu. Click to expand... Watu hao ni wakina nani kwa mfano mkuu...?
MangoFarm said: Hapa kwetu wapo watu wameenda shule na bado matendo yao hata mbwa wana afadhali mkuu. Click to expand... Watu hao ni wakina nani kwa mfano mkuu...?
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,636 Oct 8, 2018 #45 MangoFarm said: Hapa kwetu wapo watu wameenda shule na bado matendo yao hata mbwa wana afadhali mkuu. Click to expand... Mmmh unazungumzia shule za kukariri difinisheni ya katalist mzee.
MangoFarm said: Hapa kwetu wapo watu wameenda shule na bado matendo yao hata mbwa wana afadhali mkuu. Click to expand... Mmmh unazungumzia shule za kukariri difinisheni ya katalist mzee.
MzaramoTz JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 1,873 Reaction score 3,096 Oct 8, 2018 #46 KIOO said: Watu hao ni wakina nani kwa mfano mkuu...? Click to expand... Mkuu niwataje ili nipotee aisee hunitakii mema mkuu si eti...?
KIOO said: Watu hao ni wakina nani kwa mfano mkuu...? Click to expand... Mkuu niwataje ili nipotee aisee hunitakii mema mkuu si eti...?
MzaramoTz JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 1,873 Reaction score 3,096 Oct 8, 2018 #47 Capitano said: Mmmh unazungumzia shule za kukariri difinisheni ya katalist mzee. Click to expand... Ngoja anayejua Kiingereza ila hapendi tu kukiongea akuskie aisee. Hahahahah.
Capitano said: Mmmh unazungumzia shule za kukariri difinisheni ya katalist mzee. Click to expand... Ngoja anayejua Kiingereza ila hapendi tu kukiongea akuskie aisee. Hahahahah.