Kama Sio Yeye Vile.

Nilivyoona avatar nikajua mamiii mkuu. Ila nishamtaka radhi kiongozi sasa wewe huu unaoufanya hapa ni uchochezi mkuu.

Hahahahah. Lol.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hayahaya mzee/mama yaishee nimeweka zote najua lazma na wewe utaangukia kwenye mojawapo,nyingine icancel tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hayahaya mzee/mama yaishee nimeweka zote najua lazma na wewe utaangukia kwenye mojawapo,nyingine icancel tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haya bhana...!
 
Mbwa anatakiwa kuwa na sehemu yake hata kama anapata taratibu zote za usafi mbwa ni mbwa tu, labda kama ni private jet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…