Kama Sio Yeye Vile.

Mbwa wa ulaya ni sehemu ya familia...
Sio mbwa wa kibongo anakula ugali maharage kama yupo jela. Kuna tofauti kubwa sana kati yao na sisi....

Kwetu kuitwa mbwa ni tusi.
 
Usemacho ni kweli kabisa aisee gharama mbwa wa kizungu kwa chakula na matibabu inaweza ikawa binadamu wa kibongo haifikii kwa kweli.
 
Ha ha... Ndiyo maana wale jamaa wanataka wazaliwe mbwa Ulaya...
Usemacho ni kweli kabisa aisee gharama mbwa wa kizungu kwa chakula na matibabu inaweza ikawa binadamu wa kibongo haifikii kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…