Kama sio Rais Magufuli, mnamtaka nani?

Kama sio Rais Magufuli, mnamtaka nani?

Nenda kwenye uz wa jeshi toka kenya. Mtajiona mlivyouchi tz!!
 
Kumbukizi:Magari ya jeshi la Kenya KDF yanaelekea Kagera kupeleka misaada!!
 
Jamani nimegundua ninakipaji cha kupigia makofi kila kitu ... Nishaurini niapply kazi wapi
 
Mimi nimekuwa selikalini mda mrefu xana kitu chochote kile kikiendeshwa na msukuma lazima kitakua shagalabagala mfano mzur ngeleja maige na magufuri mwenyewe yaan ni ovyo sana
 
Tatizo ni wanasiasa uchwara na vibendera wasio jitambua ndio wanao mpinga magufuli
Watanzania wazalendo lazima wamuunge mkono Raid wao kipenzi cha wanyonge.

Washindwe na walegee
Magu ndio chaguo letu
 
Ukiona kitu kinapigiwa debe Sana kwa watu wazima wenye akili timamu na wenye uwezo wa kutambua chema na kibaya unatakiwa uwe makini nacho linaweza likawa ni gharasha kwa kuwa kilicho kizuli hakipigiwi debe kinajiuza chenyewe,
 
Tehetehetehetehe. Ilikuwa nchi ya deal hii. Sasa heshima ya nchi inaanza kurejea
Nyie watu ni mandumilakuwili.. Na kama JPM akiwaamini watu kama nyinyi basi atapata hasara sana!
Muda wake ukiisha mtakuja na kusema ile ilikuwa awamu ya kukurupuka!!
 
Tatizo ni wanasiasa uchwara na vibendera wasio jitambua ndio wanao mpinga magufuli
Watanzania wazalendo lazima wamuunge mkono Raid wao kipenzi cha wanyonge.

Washindwe na walegee
Magu ndio chaguo letu



Raid ndio nini? tatizo unafiki umewajaa mnachapia chapia tu mpo kwenye mashindano.
 
Tatizo ni wanasiasa uchwara na vibendera wasio jitambua ndio wanao mpinga magufuli
Watanzania wazalendo lazima wamuunge mkono Raid wao kipenzi cha wanyonge.

Washindwe na walegee
Magu ndio chaguo letu


halafu magu ni kitu gani hicho?
 
Nakumbuka kamsemo kazamani kidogo pale mtu unapopata kitu kizuri halafu bado unalalamika. Utasikia mtu anakuambia 'Mungu akupe nini, au gunia la chawa?

Hii ni kauli ambayo inatolewa kwa watu ambao hawana shukrani, hawana jema. Kila kitu kwao kibaya. Ukiwa mkali utasikia dah, fulani mkali sana. Ukiwa mpole utasikia dah, fulani mpole sana. Ukiwa kati kati, utasikia dah, fulani haelewiki.

Hakika, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutujalia kumpata Rais Magufuli. Wengi wasiofikiri vizuri wanaponda kila kitu bila kuangalia uhalisia wa jambo husika.

Mfano mzuri, Mheshimiwa Rais Magufuli amesema wazi juu tetemeko la ardhi lililoharibu vitu na watu Mkoani Kagera. Amesema wazi Serikali haina uwezo wa kusaidia kila kitu. Inabidi jamii na watu wenyewe tufanye kazi na kusaidiana. Haiwezekani mtu nyumba yake imepata ufa anasubiri Serikali ije irekebishe ufa.

Rais wetu ni mkweli, hana ubabaishaji. Nyeupe anasema ni Nyeupe, na nyeusi ni nyeusi.

Watanzania mnataka nini badala ya JPM? Mheshimiwa Waziri Mkuu amepewa kazi ya kusimamia urejeshwaji wa hali ya Mkoa wa Kagera. Ameambiwa wazi kabisa na Mhe Rais juu ya matumizi yenye tija ya michango.

Tumuunge mkono JPM, tuache kufuata maneno ya wanasiasa wa matukio.
Kura zilipigwa zaidi ya asilimia 48 hawakumtaka awe rais wa nchi ya Tanzania. Sasa unapouliza mnamtaka nani mnashindwa kukuelewa.
 
Kwa jpm tuliingizwa choo cha kike! Hana sifa za kutosha kiwa mkuu wa nchi!.
 
Back
Top Bottom