muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
..soma comment za wachangiaji wa mzalendo.net.
..hivi mwenye "ukurutu wa udini" ni chadema, au hao wanaojitambulisha kama wazanzibari?
Haka ka Mzalendo .net cjakapenda kwanza kapo Ki CUF zaidi na Kiislam zaidi,huwezi kunishawishi hata siku moja nikubali udini wa Chadema kabla ya udini wa CUF na CCM,ndo maana hata ushindi wa CUF kwenye kura za urais zimetoka maeneo yenye waislam wengi i.e Mtwara,Lindi na Tabora kote huko waislam ni 80 Percent,kwa CCM udini upo kwa Kikwete.
..soma comment za wachangiaji wa mzalendo.net.
..hivi mwenye "ukurutu wa Udini" ni Chadema, au hao wanaojitambulisha kama Wazanzibari?
Nimesoma zile comment mkuu, in short, this is very bad for Chadema.
Chadema need to work on in this accustaions whether these accusations are true or not. sumu mbaya sana hii. sijawahi kuamini au kuona hata sikumoja kuwa chadema wana udini kama walivyoupamba hawa watu!
Ingekuwa Chadema hawakujikita sana na Udini na Uchadema? Basi Chadema wana nafasi mzuri ya kuwaunganicha Wtanzania na kuwaita wakaitika na kuweza kuiondosha ccm ktk madaraka na kuizofisha kabisa. Lakini tatizo kubwa la Chadema ni kushindwa kuwaunganisha Wtanzania ktk misingi yao ya imani za kidini na kisiasa.
Kwa vile Chadema wanapendwa na wana watu wengi, kwa hio njia ya kuingia ikulu ni yepesi kwao ikiwa watajipanga vizuri sana?. Nilazima Wajikitee sana ktk Utanzania na haki za Mtanzania ili kuweza kuwaunganisha Wtanzania. Isiwe wakifanya maadamono yao yanakuwa ya Kimkowaa na ki-Chadema na udini.
Kuna watu Tanzania wenye imani za kidini tafauti na wanawaunga mkono sera nyingi zao na wanatamani ku-joint na wao ktk harakati za ukombozi la kini wanashindwa hapo. Nilazima Chadema wabadilike ili kutumia people power, nguvu ya Dola haiwezi kushinda nguvu ya watu(people power) angalia Serekali ya Tunis na Misry iko njiani na nyingi tuu zitafuatia zenye utawala wa kimabavu zidi ya raia zake.
Sasa leo Chadema wana opportunity mzuri golden chance hawajuwi kuitumia imebaki pambo la nyumba, hivi sasa Marekani wanakubali nguvu ya watu na kuipa motishaa sasa Chadema muna subiri nini?.
GONGA HAPA: Kama si udini na Uchadema ?ccm bye bye.
I guess they are after something au kuna kitu wametumwa
for your info... hiyo kazi walipewa waifanye humu JF wakiongozwa na zomba na huyu muhogo mchungu akibadilisha Id.... lakini imeshindikana...hiyo bog inaji classify yenyewe... kuwa sio forum bali ni muhadhara.... sioni kama watafanikiwa kwani kuna watu walifadhiliwa ku preach hate live lakini hawakufanikiwa....

mbona unajikanganya? Mara chadema inapendwa na watu wengi halafu bado unasema wana udini na ukabila.
Tatizo limetokea arusha, utaitisha maandamano zanzibar si utaonekana mwendawazimu.
Kama huna cha kuandika nenda maliwato. Au umetumwa?