Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,248
- 6,267
Vuta picha lile goli la makambo wangenyimwa biashara au simba. Humu kungekalika?Alipiga mikono ya kipa badala ya mpira
Unakumbuka zile draw za mwanzoni mwa msimu mlikua mnasema mnakamiwa GSM katoa hela?
Yaani timu zinapocheza na simba zinatakiwa ziachie magoli isionekane wanakamia. Vip ndo mmenyimwa goli la makambo kwa mazingira hayo. 😁