King'ora amuachie nani? Hakuna mtu anayependa foleni tusidanganyane bwana.
kwani mwanzo alivyoacha king'ora alimuachia nani...!?

Hawezi kujiuzulu kwa kuwa kaonja utamu wa kiti,yupo kimaslahi yule.
kwani mwanzo alivyoacha king'ora alimuachia nani...!?
Ama! mna mlazimisha?Hataki sasa vyote,yaani hajihuzulu na serikali mbili hataki mtamfanya nini?