.......naona ipo haja ya kupeanA elimu kuwa mtoto tokea siku ya kwanza mimba inapotunga huyo ni binadAmu na kumtoA bila sababu za za lazima za kiafya Hayo ni mauaji.
Hapo mie nakataa .......
Physicaly mwanzoni anakua cells na kuendeleA kukua akibAdilik kuwa na muonekano wa binadamu.hatA hivyo hAta hizo cells bado kwangu nahesabiA kuwa ni binadamu kabisa sababu wote tumeanziA huko,hivyo kwangu mimi hAta mimba ya siku moja ni binadamu na kumtoA kwa makusudi ni mauaji
Tukiamua kwenda hivyo tutafika mahali tuseme mijusi, kenge, na kima ni binaadamu
Kama mijusi na kenge inAanziA uhai wao katika tumbo la binadamu mwanMke mule anapokaA mtoto kwa miezi Tisa bAsi tunAwezA kuwaita binadamu il kam sio basi mfano wako wa mijusi na makenge umepwayA ktk sualA hili.
duh! Pole zake kama anajuta kutoa, maana wengine wanatoa na wala hawajawahi juta.
Sio mijusi na kenge inayoanzia uhai kwenye binaadamu bali uhai wa binaadamu umeanzia kupitia kwao wao
Kwa ufupi ni kuwa kima na mijusi ni babu na bibi zako
Kwa hiyo
Uelewa wetu mdogo unatufanya tusione athari ya kufanya baadhi ya mambo ya kikatili kwa wenzetu.majuto mjukuu
NdahAni piA na roho ya ukatili inachangia,Huyu dada huwa namuangAliA hAta Imani naye sina tenA.
Katili wa nini sasa? Si unajua wengine wanaanza mapenzi bila kujua pros and cons zake. By the way, mbona huo mchezo wa kuua vichanga unafanyika sana hata na watu wenye ndoa?
NdahAni piA na roho ya ukatili inachangia,Huyu dada huwa namuangAliA hAta Imani naye sina tenA.
NdahAni umeshasemA kuuA vichAnga,si ndio ukatili Ukatili wenyewe huo tunaoongelea
Mbele ya Mungu hivi dhambi zote kwani si ni sawa?
Haaahaaaa! Haya bwana but people do it kama hicho ni kitu kidogo sana