Kama ningekuwa mchora katuni....

Kama ningekuwa mchora katuni....

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,131
Reaction score
10,841
.... Ningechora picha za watu wawili, MTEKAJI na MTEKWA na kisha ningeweka za majadiliano baina yao kama ifuavyo:-

MTEKAJI: Tunachotaka sisi ni pesa...

MTEKWAJI: Sawa, sas zipelekwe wapi mzipate?

MTEKAJI : Mmh, Tunaogopa polisi..!!!
 
Mmmh
 
Back
Top Bottom