To be honest, watu wengi tumekuwa wagumu sana kuomba msamaha hasa inapofikia hatua kwamba wewe unaona hujakosea lakini inaonekana kuwa umekosea machoni pa watu wengine. Hapo sasa kwa wewe mkristu, kumbuka kilichotokea kwa Bwana Yesu, na hapo hapo jishushe, omba msamaha.
Kusamehe pia ni ngumu sana wandugu zangu! Hebu fikiria mtu anakutendea maovu mengiiii, tena mengi mno, then anakuja kuomba msamaha wakati wewe hata madonda hayajapona ya yale maovu alokutendea. Hapo unatakiwa kuomba neema ya Mungu ili usamehe coz wewe kama wewe huwezi kusamehe kirahisi my dia. Unaweza kusema kwaa mdomo tu kuwa umesamehe, but ukimwono yule alokukosea donge linakukaba!!!
Only God can give you the power to forgive and forget.