Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
- Thread starter
-
- #201
Dah nilikua nae tangu utotoni, chekechea, primary, sekondari O'level ndio baada ya hapo tukatenganishwa!!Kabla sijajiunga na JF nilimjua tu pale alipotutupa mkono na kurejea kwa muumba wake, maana nilikuwa sifuatilii Siasa kipindi hicho ndio maana nilikawia kumfahamu.
Wakati nipo hapa JF nikawa nafukua makaburi mara nikaona huyu member nikaangali na nyuzi zake, kiukweli alikuwa ni mtu mwenye sifa zake ambazo wewe ndio unazijua vizuri.
R.I.P Mtoi
Kilichobaki ni kumuombea tu aweze kupokelewa huko na muumba wake na awekwe sehemu salama kama muumba alioahidi kwa ambao watamtii na kufuata muongozo wake katika maisha yetu ya DunianiDah nilikua nae tangu utotoni, chekechea, primary, sekondari O'level ndio baada ya hapo tukatenganishwa!!
Twende zetuhafi leo wala kesho kamanda wangu huyu!
Duh rafiki upo??Nipo nipo tena nimejaa tele hapahapa bongo. Xmas kwa mara ya pili nimeila bila dad. WISH U MERRY XMASS
Hahahhaah Asante sana sanaElli umetumia muda wako kufikiri, na kuandika kitu kizuri sana, chenye ujumbe ndani yake hakika kama ukifa leo hii, ntakukumbuka kwa andiko lako hili la mwisho. heri ya mwaka mpya 2014.
Hivi wewe Dada upo??bestito elli umetumia muda vizuri kwa kuandika kitu chenye maana na kutupa fundisho ingawaje sikukusoma vizuri pale juu ila mwishoni nikapata jibu kiasi hongera ila punguza munkari
uwe na siku njema
Mtambuzi, ile story uliandika au uliacha? Nilikua nafukua makaburi KidogoDuh yaani umenikumbusha kwmaba nina deni la ile simulizi ya kule Tanga...
Naomba usife usiku wa leo ili niitumie siku ya kesho kuandika ile simulizi ya tanga kama nilivyokuahidi...
Kumbuka kwamba urafiki wangu na wewe siyo wa kukutana Barabarani...........LOL
Tina upo?Elli umenitisha mkuu,, hautakufa bali utaishi ili ushuhudie mema ya bwana.... Mwaka mpya wa 2014 ntabadilika kwa yale mapungufu yangu naomba mungu aniongoze kwa hilo.
Naikumbuka sana hiyo ajariDah, walimtanguliza jembe letu
Ole wako tukuone 2014