mimi nilipanda sai baba wiki tatu zimepita kutoka arusha kuja dar
mtindo ulikuwa huo huo, mimi niligoma kuhama,
tena ikawa bifu mimi na tandiboi,
hadi nafika dar analalamika,
nikashika msimamo kwamba mimi sitahamia mbele,
kama vipi wanirudishe walikonitoa.
ajabu ni kuwa hata wanaume wazima walikuwa wanahama kutoka nyuma kwenda mbele.