Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Ntachanganyikiwa kwanza, maana kiashiria cha chupii mkononi kinajenga mazingira ya kutarasuliwa mkeo cha chapu chap..........!
utajuaje kwani ukitoka kwenye mechi K inakaa upande.very simple,,,, nitakagua machine kama jamaa ameichakachua itajulikana tu
rafiki, kwa sisi tunaoishi uswahilini huku hayo ni ya kawaida kabisaaaaaa.Hayo ndio maelezo ya mke baada ya kukutwa? Kwa mtindo huu hata ukimkuta na used condom bado atapata jibu. Inaingia kichwani kabisa kua mke wa mtu atachangia ndoo ya kuoga na jirani wake wa kiume???
Hata hivo sijakubaliana na utaratibu huo wa kuazima ndoo ya kuoga. Hapana!rafiki, kwa sisi tunaoishi uswahilini huku hayo ni ya kawaida kabisaaaaaa.
ukute hiyo siku maji yametoka kwenu, umejaza maji kwenye kila kitu, hadi vijiko.... na maji kutoka tena hadi wiki ijayo...
kuoga ni kwa kupima maji kwenye kidumu, sasa kila kitu chako kina maji hadi ndoo ya kuogea, itabidi uazime kwa mpangaji mwenzio. Wamama mara nyingi wanajaza maji kama wewe, the only option ya kuazima ndoo ya kuogea ni kwa msela
Hata hivo sijakubaliana na utaratibu huo wa kuazima ndoo ya kuoga. Hapana!
Hivi mnananmbia as if mi sijawahi kukaa uswahilini? I know mtu anaweza kukaa na dignity yake hata katika hali ya umasikini. Hao wa kuazima wanayao tu!We unashangaa kuazimana ndoo? Uswazi kila kitu kinaazimwa! Ndoo, sabuni ya kuoga, kandambili, dawa ya meno, mafuta ya kujipaka, chanuo, nguo, viatu.. Na in most cases wala mtu haazimi anaingia tu nakuchukua.
Hivi mnananmbia as if mi sijawahi kukaa uswahilini? I know mtu anaweza kukaa na dignity yake hata katika hali ya umasikini. Hao wa kuazima wanayao tu!
We unashangaa kuazimana ndoo? Uswazi kila kitu kinaazimwa! Ndoo, sabuni ya kuoga, kandambili, dawa ya meno, mafuta ya kujipaka, chanuo, nguo, viatu.. Na in most cases wala mtu haazimi anaingia tu nakuchukua.
In fact kuna maisha ambayo watu wengi wanaishi na wengi hawayafahamu.....Ukitaka dignity uswazi manake ununue kila kitu usiazime. Ukiazima ujue umefungulia milango ya kuazimwa! Sasa kwa kipato chetu unadhani nani anaweza kuwa na kila kitu? Kama huazimi pasi unataka ukaangalie mpira, au ukachote maji, au ukajisaidie siku kwenu kumeziba, au ukalaze mgeni wako..