hakuna kosa. maelekezo yalikuwa 'fanya usafi vitu VYOTE vya chumbani'
hususani kama ametoka kijijini kwetu Mugikomero, maelezo pekee hayatoshi bali elimu ya vitendo tena si mara mojaSio kila kitu kinasafishwa kwa maji na sabuni.
Halafu sasa na hivyo alivikuta vina vumbi, tena vumbi kwelikweli, akaamua avifue kabisa!!hakuna kosa. maelekezo yalikuwa 'fanya usafi vitu VYOTE vya chumbani'
Tatizo la "bosi" haku - specify .... maagizo:- FANYA USAFI VITU VYOTE CHUMBANI dada wa kazi akaingia kazini kwa speed kaliHuyo boss naye hajaangalia hata na vitu vya kumpa mdada wa kazi avifanyie usafi.
Mdada wa kazi hana kosa kwa kweli
Na wengi wao wanakuwa hawajawahi hata kuviona.Tatizo la "bosi" haku - specify .... maagizo:- FANYA USAFI VITU VYOTE CHUMBANI dada wa kazi akaingia kazini kwa speed kali
na wanavyokuwa na ashki ya kuonesha cv zao kivitendo (ili ikibidi wapande cheo pale penye fursa hasa kwa barobaro mseja).Tatizo la "bosi" haku - specify .... maagizo:- FANYA USAFI VITU VYOTE CHUMBANI dada wa kazi akaingia kazini kwa speed kali
hahahaa! na dalili za kufaulu mtihani ni kufuata maelekezoTatizo la "bosi" haku - specify .... maagizo:- FANYA USAFI VITU VYOTE CHUMBANI dada wa kazi akaingia kazini kwa speed kali