Muda mfupi kabla ya Muya kuhudhuria ktk mwaliko, mama yake bhabra alilalamika mbele ya bhabra (mwenye miaka minne) kuwa hapendi kula na muya kwa kuwa muya anatafuna kama nguruwe. Baada ya muya kufika na chakula kuwekwa mezani watu wakaanza kula isipokuwa bhabra ambae muda wote alikuwa akimuangalia Muya mdomoni. Mama yake bhabra akamuuliza "Bhabra mbona huli unamtazama uncle Muya!" Bhabra akajibu, "nataka kujua ngurue anatafunaje"