Kama ni WEWE ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni WEWE ungefanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TAMKO, Oct 29, 2012.

 1. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamaa mmoja hapa kati alikuwa anamwagilia bunge Kwa marafiki zake wamshauri, anasema alimstukia mkewe kwamba kuna njemba linamparamia. Kwa ustaarabu jamaa hakuwa Na papara Kwa sababu wana 2kids Na mkewe huyo mwajiriwa wa Jamhuri na yeye pia mwajiriwa wa Jamhuri wizara tofauti..

  Jamaa akaanza u CID wake Na Kwa Siri akawa anapekuwa MSG Za mkewe Kwa Siri , unajua watu wakiwa Kwenye love sio 100% wataficha kila kitu, iko mida unajichanganya Na kusahau kudelete kikasha cha msg, .jamaa akawa anazifuma MSG Na kujiforwadia Kwenye cm yake Kwa siku Kama Tatu, siku moja akakuta MSG '' aisee Kumbe Za Ofisini nazo tam' akajua jamaa keshakula mzigo .. Ikampain sana akafikiria Nini amfanye mkewe au bazazi yule , akivuruga itakula kwake, akawaza apeleke MSG ofisini watamwona mwanaume mshamba mwenye wivu, akimwonyeshea mkewe anajua mkewe ataruka maelfu ya Mita, jamaa akaamua kumforwadia Yule mwizi wake SMS zote alizozihifadhi Kwenye cm yake kutoka Kwa mkewe.. Na baada ya kumforwadia akaandika MSG yake ili AMTISHIE
  'hi

  Shem, nadhani utastuka namba mpya inakuforwadia MSG zako kutoka Kwa xxxxx your love, mie ni kipenzi rafiki yake tunashea everything naitwa zzzz(jina la kike) .. Mie nakupongeza Kwa Kubeba mzigo fresh Kama huo ila nikupe tahadhari Tumia sox si unajua yeye na mumewe ni waathirika..! Ok enjoy .. Napoandika MSG hii Niko nae hapa ...see u'
  Jamaa aka reply fasta
  '
  'haloo Shem zzzz ah Asante sana Kwa taarifa basi mie nikajua ndo nshamwambukiza kumbe nae pia anao aaah Basi Poa kabisa hamna noma.. Gdnt'

  Jamaa cm ikamdondoka.. Mpaka Sasa anawaza afanyeje..!!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  huo ni ubingwa wa mipasho tu
  unaweza kukuta wote hawana ngoma

  as for me ...
  i can easily walk away without saying a word...

  maisha ni kuchagua....chagua kufa kwa presha au kuanza taratiibu
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hapa kuna scenario nyingi tu
   
 4. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Duh, ni maujanja mazuri na inafurahisha kwa jinsi alivyoweza kuvuta pumzi, sasa cha msingi hapa atengeneze intelijensia kwa kutumia njia hiyohiyo atafute mwanamke anayemwamini na mwenye kujiamini kama Lala1 au King'asti au yeyote humu jamvini ambao wamebobea katika ufukunyungu wa hivo ajitambulishe kama yeye ndiye shemeji wa ukweli apange naye appointment ya kukutana na jamaa kwa miadi ya kumpa issue zaidi. Ila aende na mwenye mke kisha yeye akae pembeni akimchora na kumtambua mwizi wake! sasa kuanzia hapo anaweza kujua la kumfanya kwani atakuwa ameshamfahamu mwizi wake. Samahani kwa kutoa tekniki za ki-intelijensia zaidi.
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Shigongo anatafuta watu kama nyie,mkuu upo vizuri kwenye riwaya.
   
 6. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hiyo ngumu Kwa sababu huyu jamaa pepo mauti hatakawia kumpanda navyomjua.. Lazima aue hadharani..
   
 7. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ..
  Mtu Kama hayajakukuta ukisimuliwa unaona kama muvi la van-dame vile au Games bond flan hivi, utaoa utayakuta yapo tu.. Soma soma kwanza ila hakikisha si unapata Cheti tu haitoshi jitahidi Uelimike zaidi..maisha ni changoto hata yaliyotungwa yapo.. Chezea life wewe ..'!!
   
 8. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  .
  .
  I think this can be good advice .. But bado kuna maswali yana hang .. Then is he also safe..where will be the destiny of the kids.. It can be mipasho on.. But ..mmmm.. Ila jamaa wamemshauri amforwadie m SMS yote mkewe hadi majibu ya jamaa Naye ajue kutunga KATIBA ya maisha iweje Sasa
   
 9. k

  kisukari JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  hii story ni kama ya kutunga.kweli utumiwe msg na mtu ajifanye shost,na yeye ajibu mapigo.mmmh.ila huo ni mfano tu,kuwa cheni ikiwa ndefu,ukimwi upo
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  ukiamua kufumania uwe tayari kwa lolote.....

  Na tatizo halitatuliwi kwa kuzimia
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  maneno tu hata kwenye kanga yapo enh!we jipe moyo
   
 12. charger

  charger JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hapana chezea life bana,kuelimika ni pamoja na kuwa na uwezo wa ku analyse issue mbalimbali,sasa mimi nimegundua kipaji chako kwe hilo TAMKO lako. Halafu hapo kwenye Games Bond nadhani you meant James Bond.
   
 13. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa vile alishakula mzigo wangu basi mimi ningemtegeshea na kumnasa kisha nikamkameruni potelea mbali. Hii ndiyo njia safi ya kukomesha ukware wa kijinga kama huu. Vinginevyo ningemtafuta mke wa yule mwizi nikampa kila kitu halafu tukaunganisha mitandao baadaye nikamwacha mke wangu na kumuoa yule wake kama angekubaliana na ushauri na mipango yangu. Hapa wanangu ni jino kwa jino.
   
 14. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kwakweli,Mara mia umchane kama unajua kisha ushike hamsini zako..! Kama ana uso uloumbwa na haya ataona aibu na kujirudi ila kama uso wake hauna haya kama mdundiko wa uswahili..then ujue kwisha habari yako na HUNA chako!
   
 15. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ama kweli kazi ipo tuweni wastaarabu ukimwi upo si wa fulani bali wote ni janga kwa taifa na familia zetu
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hakuna malaika hapa duniani na kila mtu ana mapungufu yake,katika mahusiano jambo kuu ni kutatua matatizo kwa njia iliyonyooka bila kupepesa huku na kule,ukikuta jambo unalifanyia kazi hapo hapo bila kusubiri matokeo.

  Jamaa inaonekana hana uwezo wa kumchukulia hatua mkewe na ni mwoga ndani ya nyumba.
   
Loading...