Kama ni wewe ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni wewe ungefanyaje?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Globu, Apr 14, 2011.

 1. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Bwana mmoja alikuwa anafanya kazi katika chumba cha maiti. Siku moja akaletwa maiti ana u,boo mrefu, bwana yule akashangaa kwasababu hajawahi kuona kitu kama hicho. Akaukata akaenda nao nyumbani kwake, kufika akamuonyesha mkewe. Akamwambia 'Mke wangu angalia maajabu haya'. Mke kwa Muhma akajibu akaaa!!! Inabidi bwana GLOBU hatunae tena duniani!!! Bwana pale pale akaanguka chini akazimia. KUMBE MKEWE ANAUJUA VYEMA.
   
 2. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mh!mi cyant se nating.
   
 3. shegaboy

  shegaboy JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imetulia sana kaka du! noma mama analiwaga nje kumbe inatosha kuwa letea wake zenu vitu tofauti tofauti ili kujua nani anajivinjari na mamaa
   
 4. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii noma wazee, duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wanawake tunakutanaga na vitu hatari sana
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  dah! Kweli noma
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa,kama vile wanaume tunavyomezwa na vitu vya hatari,chatu ana afadhali,kitu super depth kama pwani ya miandanao philipines.
   
Loading...