Kama ni wewe ungefanyaje

Ukitaka kuona maajabu unamchukua uyo mke na kumuwaisha nyumbani kisha unaondoka zako kuendelea na mishe mishe bila kumuongelesha chochote hapo ukirudi baadae nyumbani sijui kama utamkuta maana lazima ataondoka tena bila nguo za ziada za kubadilisha
 
mie ntamwacha tu... halafu pale nnambeba kwenye bdabda yngu hku natabasam .namvisha helmet halafu nampeleka mpka hom (free ride). then narudi zngu kwenye mizunguko mpka mda wa kurudi hom kawaida tu.
 
Nitamsamehe, nitamwambia usirudie tena baby, unautesa sana moyo wangu mimi nakupenda kwa dhati.
 
Hili linawezekana lakini hawezi kutoa kauli ya ''muwahishe nyumbani kabla mume wake hajarudi'',labda ungeishia kusema tu muwahishe nyumbani.. au huyo jamaa hekima yake itakua ni kama ya mtu punguani
 
Mi nampakia sipigi nae story mpaka home halafu nachukua nauli yangu naondoka nikirudi huyo simkuti lazima atakimbia mwenyewe
 
Namuuliza anakoish, nampeleka chap kabla mumewe hajarudi. Ingawa inataka ujasiri wa hali ya juu sana.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kwa mawazo haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…