Kama ni wewe mwanaume ungefanyaje

Kama ni wewe mwanaume ungefanyaje

Ukifahamu kwamba wanawake ni wepesi wa kusema kile kilichomkuna moyoni na mwisho wa siku wanajikuta wamesharopoka basi haitakusumbua so inabidi uvumilie tu na kutunza heshima ya Mama mkwe.Lakini ukiona mtu anasema hivyo ujue ni upungufu wa hekima kwani mwenye hekima hawezi sema hayo maneno sababu hekima iliyomo ndani yake inajua madhara ya hayo maneno kwa mwanaume.
 
najuta kufungua huu udhi:thumbdown::thumbdown:
 
Ungemuuliza na yeye
Hivi Mama kwenu kuna mwenye nayo, hata kama hii uliyomo?
 
nitapaki pembeni na nitazima gari kisha niwaambie mafuta yameisha....lengo ni kuendelea kusikia kauli zake za kebehi
 
"mama si wenyewe tunajifanyisha tu kutembelea vitz"....afu hapo hapo namgeukia wife "si eti enh my angel?"
 
Nitamwambia hilo ni gari si mwanaume...halafu namwambia acha umakinda na ufunge mkanda
 
Nitamwambia mama umekosea aliyetupita ni mwanamke siyo mwanaume
 
Ah hiyo rahisi tu! Nitamwambia hujaona vizuri ni mwanamke ndiye aendeshae hilo hammer!
 
nitakaa kimya kama sijasikia.. ila kimoyoni ntamdis mama mkwe..!
 
Back
Top Bottom