Kama ni uongo, huu ni kiboko

Wapo wanaotibiwa na kupona.

Basi yule demu wangu kuna masheikh walishindwa ndugu na mara ya mwisho aliniambia anaenda zenji kusoma aisee na kutibiwa pia,hii dunia ndugu ina mitihani mingi
 
Cha muhimu ulielewa haaaaaaaa mkalimani wa swanglish

Kuna wakati uliongea kitu kuhusu kujaza madudu shule??? Did you say I did that...? nahisi uliwahi kumwambia mwalimu wako "cha msingi ulielewa" and that is not madudu..no, its not
 
Kuna wakati uliongea kitu kuhusu kujaza madudu shule??? Did you say I did that...? nahisi uliwahi kumwambia mwalimu wako "cha msingi ulielewa" and that is not madudu..no, its not
Ungejua tangu nasoma sikubahatika kutoka nje ya 10 bora ndugu,na pale nilitaka niandike acteur lakin nikasahau iyo u kaka,mara nyingi uwa nachanganya sana kuandika maneno ya french na english,so nikiwa naandika haraka uwa nachanganya lakin namshukuru MUNGU katika kusoma kwangu sikuwa boya hata siku moja nilikuwa naburuza watu classe
 
Mkuu umenikumbusha shule ya msingi.. story ya juma na uledi walivyokuwa wanapigana kamba

Juma: babu yangu ana ngoma kubwa sana ambayo juu yake unaweza kuweka kiwanja cha mpira na chini magari yakawa yanapita

Uledi akajiongeza kidogo..akaona jamaa anataka kumuokota..lakini akaamua kutumia akili kumpinga
Uledi: mi babu yangu ana mbuzi mkubwa sana..yani akisimama uwanja wa mpira kichwa kinagusa goli moja na mkia goli jingine

Juma akaanza kubisha na kumwambia uledi aache uongo kamwe hakuna mbuzi mkubwa kama huyo...Uledi akamwambia kama hakuna mbuzi mkubwa kama huyo babu yako alipata wapi ngozi ya kuwambia hiyo ngoma..juma akachoka
 
Inkhubu don't spoil your day mkuu..your logic was very simple..kama mtu hajakuelewa basi hajataka tu kuelewa
 
Last edited by a moderator:

kubahatika kutoka nje ya kumi bora...ni kubahatika?? I see!..Kubahatika

some school..some class!!!
 
kubahatika kutoka nje ya kumi bora...ni kubahatika?? I see!..Kubahatika

some school..some class!!!

Si kama ww haukabahatika kuingia 10 bora,so ukawa unashika madudu aisee na ndo mana nilikwambia unaonekana hata shule ulikuwa uelewi ndugu,unaulizwa kingine na unijibu kingine na wakati ulifundishwa kingine
 
Dunia hii jamani!!, huyu jogoo apandi mtungi, kuna jongoo mwingine anapanda mtungi lkn aridhishi!!, mwingine ata akipanda hatemi sumu humo ndani, mwingine anapanda mtungi lkn anagundua baada amezama kwenye bwawa!!. Kwahiyo jamani hapa mhimu ni kuvumiliana tu, hakuna mkamilifu.
 
Nimecheka sana hiki ulichoandika naamini mleta mada atakuwa amekuelewa
 
Si kama ww haukabahatika kuingia 10 bora,so ukawa unashika madudu aisee na ndo mana nilikwambia unaonekana hata shule ulikuwa uelewi ndugu,unaulizwa kingine na unijibu kingine na wakati ulifundishwa kingine
hi

Hivi ina maana mpaka sasa hujagundua kama mwenzio anacheza na akili zako? yaani kama mpira anakupiga danadana na kukubetua anavyotaka. let go, humuwezi
 
hi

Hivi ina maana mpaka sasa hujagundua kama mwenzio anacheza na akili zako? yaani kama mpira anakupiga danadana na kukubetua anavyotaka. let go, humuwezi

Haaaaa ndugu jua mjinga awezi chukua kitu kwa mwerevu lakin mwerevu anaweza kuchukua vitu vingi kwa mjinga,so najua nachofanya ndugu yangu,sema ahsante kwa kunijulisha kitu nachokijua
 
Kaka kuwika kwa jogoo na kuokota ela wapi na wapi??jaribu kuelewa mada tafadhali

kiswahili kina mbinu, miundo,tamathali za semi nk. nk. nk. usiwaze kama mtoto wa darasa la kwanza...au wa form three anayeambiwa mchore mhusika mkuu katika kitabu fulani ye anachukua penseli na ufutio na kuanza kazi za fine art!!!
 
Haaa haaa haaaa..... umetisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…