Kama ni uongo, huu ni kiboko

We fuata ulichokitaka kwa huyo manzi, mambo mengine ya nini, mwenyewe ulishasema hawezi kukosa boyfriend kwa mwonekano wake. sasa we ulitaka akupe jibu gani! Angalia upya style yako ya kutongoza mkuu.
 
That I readily agree..I compared you to someone who can be told something and understand..stupid comparison indeed!!!
Seems like u want me to do somethin' illegal to ya a$$!!
 

hapa ndugu, msingi mkuu hapa ni kitu kuwezekana..kwa hiyo alichosema ni kuwa hakiwezekani kama nilichokisema mimi...mtu akikufuata akakwambia anamiliki Ndege wakati unajua hata nauli ya daladala kwake ni mbinde mwambie "sawa...na mimi ni katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa...sasa asikuulize ndege na umoja wa mataifa vinahusiana vipi..ni kwamba kasema the impossible na umemjibu na the impossible
 
We fuata ulichokitaka kwa huyo manzi, mambo mengine ya nini, mwenyewe ulishasema hawezi kukosa boyfriend kwa mwonekano wake. sasa we ulitaka akupe jibu gani! Angalia upya style yako ya kutongoza mkuu.
Kweli mkuu bt point hapa ni aina mpya ya uongo nilokutana nao....
 

Ww ni kiboko.
 

Tatizo umekalili swali ndugu na mifano yako haina interaction yoyote na iyo thread kaka
 
[mbona Kuna siku nimepata kazi ikulu, nikakacha, nikaamue bora kutembeza zangu mboga mboga mtaani mie ijapo elimu ninayo, na Ni baada ya kusota mtaani vya kutosha

eheeeeeee. ukayakimbia majukum. maaana kule ni busy busy. au ulisusa kwa hasira ya kusota mda mrefu. very funy
 
ngoja udanganywe kam mtoto mdogo,,,,,,,, weka picha kwanza asije akawa ni wangu anakuzinguwa tuu ili uwe mchepuko wake
 
Haaaa uwezo wako mdogo sana wa kufikiri ndugu yangu,sema yaishe maana me siwezi bishana nawe ndugu

uko sawa kwa point moja tu hapo....chizi huwa anashangaa akimuona a sane man doing a sane thing
 

Kuna mdada mmoja yeye siku hizi ni muigizaji marufu tu wa hizi bongo movie anaishi sinza, yeye ukifanya nae mapenzi atakukaba kama huna nguvu anaweza kukuua aisee... na mkilala usiku, kama jana alifanya mapenzi na mwanaume mwingine usiku utayasikia yote, yani anaonge yote mpaka kwa vitendo.
 
Nashukur mkuu na ww umemuelew ana~act kujua saana kuliko uwezo wake wa kufikir...

no wonder..you are very advanced in thinking mpaka unaleta swali lililo wazi watu wakusaidie kufikiri...next time utauliza kama inawezekana ng'ombe kutaga mayai....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…