B.4really
Senior Member
- Jan 30, 2013
- 199
- 89
Heri ya pasaka wanaJf,
Mwezi mmoja uliopita nilimpata mdada katika kupiga storiez nini,nikamtupia macho na yeye akawa ameitikia nikasema basi sawa ngoja twende ili tuone hatua yake maana mdada mrembo kama yule si rahisi akoswe mpenzi.
Basi wiki uliyopta kanipigia simu usiku wakati tunapiga story nikamuuliza vip boyfriand wako.mzima'?kama utan tu alichonijibu ilibidi nicheke badala ya kusikitika.
Dada sasa: Sikiliza nikwambie B kiukweli sio kwamba sikuwa na mpenzi but mpenzu niliyekuwa naye nimespend nae more than 3yrs bt sijawahi kusex nae because jogoo wake hapandi mtungi.
Hivi kweli wanajf wenzangu inawezekana mwanamke kukaa na mwanamme ambaye hafunction kwa muda wote huo.