Kama ni tabia nitamwazima zakwangu

Kama ni tabia nitamwazima zakwangu

madurufu

Senior Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
110
Reaction score
54
Heri yako wewe unayesaka Mke mwenye TABIA NZURI,mi huo Msako nimeacha siku nyingiii,Kama ni Tabia nitamuazima Tabia zangu tukishaoana..Kisa cha Kujinyima vitu vizuri kisa nasaka MAMA PAROKO??
Wakati wa Kutafuta Mtoto TABIA HAITUMIKI,ni mwendo wa Ashki tu na jinsi ntakavyopagawishwa na kucha zake na amenigusa wapi..Unahitaji kupata Mke "Malaya wa Kitanda"
Nikirudi na Stress za kazini niikute hii figa iko ndani ya Bikini tu inanisubiri,anidake aanze "KUTUMA SALAMU KWA HISIA" huku analalamika kwa uongo na kweli...TABIA IKAE MBALI HUKOO
Nikialikwa mtoko na washkaji sina haja ya kujiuliza kama niende mwenyewe au lah,Ntamwambia "Mke wangu leo usiku tunatoka Outing,please DRESS TO KILL",na muda wote wa mtoko nitakuwa nimemshika kiuno ili kutuma Meseji kwa kila anayeniangalia kwamba "YES NAFAIDI HILI BUNO BURE DEILE" na hapa TABIA WALA HAIHUSIKI!Kuna watu kila ukiwaalika hawaji na wake zao japo walioa TABIA,kisa MKE HAANGALIKI MARA 2...Mi sitaki hayo mambo...Nataka nikishtuka Usiku wa Manane pamoja na lepe la usingizi kunizidia lakini macho yangu yapangue giza totoro la chumbani nione HILI BUNO pembeni yangu,nilishike kwa uchu halafu nimshtue taratibu,"BEBI NAOMBA KIMOKO"
He heeee, good day wasaka Tabia Njema,Ndo maana mnaibuka na vitu kichefuchefu mpaka unajisemea LABDA ALIPEWA DISKAUNTI YA MAHARI!
Mke wangu wa Milele lazima awe ANANISHTUA NIKIMUONA,Tabia ntampunguzia za kwangu!
Usioe Mke ana Shepu kama TANGAWIZI eti kwa kisingizio cha TABIA,Mwanaume amejawa Tamaa Masaa 24,mnaoa vituko halafu full kuchepuka na MABUNO,Tabia nzuri waachie MAKATEKISTA!
 
wakibisha ni ujeuri tuu....🙂... na ukichepuka chepuka na kituuu,,, mwenye wewe akikufuma anaomba msamaha yeye......daaadeki...
 
umenifanya nikumbuke mbali aiseee, kuna mkaka huku haongozani na mke hata siku 1. Safari zao lazima amtangulize mke wake mbele kisa mke ana dad's face.
Usiku wa keo Nmeota nmekushinda. Na niseme ndoto hii ,imenipa nguvu hiyo sasa !!
 
Unatafuta mtu wa customer care au mke?

Yani unaoa ili uwakomoe watu eti mkeo mzuri?

Nikifikia umri wa kuoa nitaoa mwanamke mwenye maadili anaeweza kulea familia!

Sio mwanamke mwenye chura kubwa wakati hajui kupika, hawezi hata kuangalia homework za watoto!

Kwenye ujana sawa, lazima kutoka na warembo. Ila linapokuja suala la ndoa urembo sio priority!

Jichanganye uangukie kwa slay queens, they will skin you alive!
 
Hizi ni fikra huru. Mkuu wewe ni mtu mwenye ujasiri, unaweza ukawa muwekezaji mkubwa kwa kuwa hauogopi risks. Nikuongezee ujasiri, tabia si kitu cha kudumu, anaweza akawa na tabia njema leo baadae akapata tabia mbaya and vice versa. Kula vitu vitamu na laini Mkuu, tabia kwao kanisani na misikitini.
 
Unatafuta mtu wa customer care au mke?

Yani unaoa ili uwakomoe watu eti mkeo mzuri?

Nikifikia umri wa kuoa nitaoa mwanamke mwenye maadili anaeweza kulea familia!

Sio mwanamke mwenye chura kubwa wakati hajui kupika, hawezi hata kuangalia homework za watoto!

Kwenye ujana sawa, lazima kutoka na warembo. Ila linapokuja suala la ndoa urembo sio priority!

Jichanganye uangukie kwa slay queens, they will skin you alive!
hahaha slay queens will skin him alive
ukunywe soda apo nakuja kulipa..umenfurahisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom