Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Hapo ni kupiga magoti na kumuomba Mungu akuongoze kwenye tukio hilo hili usije tumia akili za kwako binafsi ukafanya makubwa ya kukudhalilisha we mwanaume,
Kama ukitumia busara ukajiuliza wewe binafsi umemsaliti mkeo mara ngapi ni raisi kumsamehe, ila kama hujawahi kumsaliti mwenza wako itakuuma sana tena sana.
Kama ukitumia busara ukajiuliza wewe binafsi umemsaliti mkeo mara ngapi ni raisi kumsamehe, ila kama hujawahi kumsaliti mwenza wako itakuuma sana tena sana.