Kama ni mke wako ungemfanyaje?

Kama ni mke wako ungemfanyaje?

jakamot

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
51
Reaction score
4
Kuna sakata moja limetoa nyasho musoma,sakata lenyewe ni hili: kuna mwanamke mmoja umri kati ya miaka 40 amefumaniwa akifanya mapenzi laivu na kijana mdogo wa miaka 23, wawili hao wamekamatwa wakifanya mambo yao ndani ya saloon yake ambayo alifunguliwa na mme wake kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa familia! Lakini kinyume na matarajio salon imekuwa ni gest yao, kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wanasema mme wake alipata habari toka kwa raia wema na mara alipofika kijana alichomoka ndani akiwa na boxer na kutokomea! mara baada ya mme wake kufika alimpa mikanda ya kutosha kisha kuondoka hadi polisi walipokuja na kumchukua mama huyo ambaye aligoma kutoka ndani mpaka alipopewa makofi ya kutosha,kisha wakaondoka nae,mwisho wa sakata!
 
^^
Alijua akikamatwa atapigwa,,mimi ningefanya kinyume chake.
Ningemsifu,nikampeleka nyumbani nimuulize nini tatizo hadi afanye alivo fanya.Badiliko la langu litategemea ushirikiano wake.
^^
 
Money cant buy you love its said

Mapenzi ni zaid ya kufunguliana.biashara na kwa kawaida mtu akishakuwa na uhakika wa.kula kuvaa na kulala basi hitaji la self satisfaction hiloooooo litajitokeza!!!! Wengine beach,wengine mitungi,aerobics bas bora kila mtu ana lake sasa hapo ni kama mzigo ukiambiwa use no hooks fanya hivyo,this side up basi usilipindue!!!!!

Mjue mwenza wako anaridhika nafsi kwa lipi,baadhi ya wanaume hudhani kumpa mke mtaji na biashara ndio glue ya ndoa waaaaapi jitume mzee tena saaaana na kama kashamaliza uzazi na bado kijana ndo kabisaaaaaaaa anakuwa na.kiu ya tembo kunywa huku akitibua!!!!!!!

Kumfanya nini ingetegemea na unamkutaje na anafanana vipi kuna kumkuta mtu na kosa lakini unaona nafsi yake inahangaika kwa majuto na kuna unayemkuta kajiandaa kwa shari despite the wrong doing!!!!!
 
mzinifu atazini tuu.
  1. ukimpa hela ya kutosha atatiwa na houseboy/mlinzi
  2. usipompa hela atatiwa na wenye pesa
  3. ukimpa mtaji ajiendeleze na kuwa busy, anatiwa na vijana wa mtaani
niko njia panda
 
ni wachache wenye huu moyo kama wako
 
Kuna sakata moja limetoa nyasho musoma,sakata lenyewe ni hili: kuna mwanamke mmoja umri kati ya miaka 40 amefumaniwa akifanya mapenzi laivu na kijana mdogo wa miaka 23, wawili hao wamekamatwa wakifanya mambo yao ndani ya saloon yake ambayo alifunguliwa na mme wake kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa familia! Lakini kinyume na matarajio salon imekuwa ni gest yao, kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio wanasema mme wake alipata habari toka kwa raia wema na mara alipofika kijana alichomoka ndani akiwa na boxer na kutokomea! mara baada ya mme wake kufika alimpa mikanda ya kutosha kisha kuondoka hadi polisi walipokuja na kumchukua mama huyo ambaye aligoma kutoka ndani mpaka alipopewa makofi ya kutosha,kisha wakaondoka nae,mwisho wa sakata!

angemsamehe tu kwa sababu we are not perfect
 
Nitashangaa huyu jamaa akiendelea kukaa na mke wa namna hii asiyejua tofauti ya guest house na saloon.
 
... hakyanani huyu Mama ana bahati ya mtende! Maanake katika mazingira kama hayo hayo, na pengine kosa dogo zaidi ya hilo, "angepata panga" za kutosha kabisa na saluni ingegeuzwa bucha fasta! Musoma si mchezo, sikia tu!!
 
mzinifu atazini tuu.
  1. ukimpa hela ya kutosha atatiwa na houseboy/mlinzi
  2. usipompa hela atatiwa na wenye pesa
  3. ukimpa mtaji ajiendeleze na kuwa busy, anatiwa na vijana wa mtaani
niko njia panda

tabia ni kama ngozi.,haibadiliki.
 
Money cant buy you love its said

Mapenzi ni zaid ya kufunguliana.biashara na kwa kawaida mtu akishakuwa na uhakika wa.kula kuvaa na kulala basi hitaji la self satisfaction hiloooooo litajitokeza!!!! Wengine beach,wengine mitungi,aerobics bas bora kila mtu ana lake sasa hapo ni kama mzigo ukiambiwa use no hooks fanya hivyo,this side up basi usilipindue!!!!!

Mjue mwenza wako anaridhika nafsi kwa lipi,baadhi ya wanaume hudhani kumpa mke mtaji na biashara ndio glue ya ndoa waaaaapi jitume mzee tena saaaana na kama kashamaliza uzazi na bado kijana ndo kabisaaaaaaaa anakuwa na.kiu ya tembo kunywa huku akitibua!!!!!!!

Kumfanya nini ingetegemea na unamkutaje na anafanana vipi kuna kumkuta mtu na kosa lakini unaona nafsi yake inahangaika kwa majuto na kuna unayemkuta kajiandaa kwa shari despite the wrong doing!!!!!

Nafurahi sana comments zako kuhusu women! U are not bias at all! Huchukulii wanawake kama mashetaani wasiofaa! Unaonya, unaelewa kwann saa nyngne wanakosea, na hata unafahamu mapungufu yao kama binadamu, huwadhalilishi! yaani I appreciate! Thank you! Yaani hata kama we ni matonya mwanamke yeyote aweza kuishi nawe trust me!
 
Ndo mama zetu dada zetu na kubwa ndo watani wetu wa jadi yaani next to water kama sio kazini kwenye biashara,ukiumwa akuone ---- kwa sindano,utamkwepea wapi mtani huyu???!!!Sasa ili kiwa na amani ni bora kumjua tu kwa busara ili mambo yaende,maisha yenyewe mafupi haya huku ajali,malaria ,cholera sijui mlipuko wa ebola achilia mbali ,ugumu wa madeni ya biashara na kucheleweshewa mshahara hapo bado wachawi k🙂unyimana usingizi na viwembe vyao visivyochemshwa na kutuchanjia chale miaka nenda rudi.

Yaaani mai dia makuundiiiii yooote dua zako imeangukia hapo lo na kikopo mkononi kisa uelewa ha haaaaa ntadhulumiwa mjini hapa mamay diapers na lactogen mary kay na organza watamnunulia hawa watu wasio na haya wala kujua mabaya!!!!
 
Hapa fanya maamuzi ya shubiri,piga chini now its the right time,huwezi kuendelea kuishi na mtu ambaye umma mzima unajua alikumbwa na fumanizi tena la aibu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom