MWANAMKE MTANZANIA
Member
- Mar 4, 2014
- 38
- 9
Madiwani wa jiji la Arusha wote wanaondoka leo kwenda Kigali Rwanda kujifunza namna ya kuweka mazingra safi
Swali manispa ya Moshi walijifunza wapi namna ya kuweka mazingira safi?
Madiwa hawa watakua wakilipwa dolla mia 350 $ sawa na Tzsh 700'000 hii nje ya malazi 'chakula' na shopping
Masafara huo utakua madiwani 19 na mafisa wandamizi 21 jumla yao ni 40
Gharama ya usafiri go and rutern na usafiri wandani wakiwa Kigali
Ikumbukwe pesa zote hizi ni za walipa kodi masikini
Hawa ni madiwani wa Arusha mjini tu
Je kila jiji au alimashauri tanzania mzima ikifanya ziara kama hii tutajenga nchi kweli? Je ninani mtetezi halisi wa mnyoge?
Hivi ni kweli Tanzania hatuwezi wenyewe kujisimamia hata kwa usafi mpaka twende Rwanda? Au nchi nyingine?
Tukisema haya ni matumizi mabovu ya pesa za umma tunakosea
Nakubali yako mambo ya kujifunza nje ya nchi ila sio usafi na mazingira kwani mwisho wa siku jirani atakutania utaona anakutukana kumbe ndio ukweli wenyewe
Jiji la Arusha maeneo ya sombetini'muriet 'engosheraton kwa mrombo na viunga vyake havina maji safi na salama' barabara' umeme' zahanati' na shule' vituo vya police.