kama ni kweli Situmii tena Condom !

aisee, kama hutumii ndom utatumia nini...?
 
ukisoma maelezo ya matumizi yake hakuna sehemu imeandikwa unatakiwa kuianika juani. wewe kwanini unaiweka juani?

Labda aliifua baada ya kuitumia ili aje aitumie tena?
 
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau

Aisee hata mimi nimesikia ukiacha wali mda mrefu unatoa funza, SILI TENA WALI....
 
Na mie nimesikia ukiacha mboga wazi siku mbili inachacha, kwa hiyo nimeamua sili tena mboga.
 
An empty mind is the workshop of the devil.. Haha! mkuu hiyo story umeitunga au umesikia kwa mtu?
Very soon condom mpya zilizotengenezwa kwa graphene zinakuja ambazo zitakua nyembamba kiasi kwamba husikii kama umevaa kitu mambo yanazidi kuwa matamu afu wewe unaleta habari gani hapa....
 
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau

Nina wasiwasi ulikuwa una re-use hiyo kondomu,ndiyo maana maziwa yalioza funza wakatoka.
 
Umefanya hii experiment na ukaona matokeo yake au umesimuliwa?

Mh. Lukolo, mbona hiyo si experiment, ila ni tafiti ya kuhoji watu ambayo ilioonyesha kuwa watanzania wengi wa vijijini ni makanjanja kwani wanaamini kuwa kondomu zina minyoo na zinasababisha VVU, hivyo elimu kwa umma inahitajika zaidi.
 
Nina wasiwasi ulikuwa una re-use hiyo kondomu,ndiyo maana maziwa yalioza funza wakatoka.

sio kweli kwamba ninatumia kondomu 1 zaidi ya mara mbili ila nimeamua kuwauliza wadau wa MMU mwenye kuelewa jambo hili afunguke ili nipate more detail maana tulikuwa kwenye malumbano na wenzangu.
 
Mh. Lukolo, mbona hiyo si experiment, ila ni tafiti ya kuhoji watu ambayo ilioonyesha kuwa watanzania wengi wa vijijini ni makanjanja kwani wanaamini kuwa kondomu zina minyoo na zinasababisha VVU, hivyo elimu kwa umma inahitajika zaidi.
Hujasoma kwenye discussion; hii ni mojawapo ya statement niliyotohoa kutoka huko kwenye hiyo article:
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…