Kama ni kweli....! Daa jkt imeniboa kwa hili...!

Sijui kwa nini watu wanawaona wanajeshi kama malaika?nao ni binadam kama wengine na wanaugwadu kama watu wengine,msipende kuwasemea mioyo watu msiowajua.
 
me talifuatlia suala hili then by j tatu nitalileta tena jukwaani tujue kama ni kweli or inakuwaje.....!
 
Nyie mnaotetea upumbavu unaofanyika jkt mko wachache.nahisi mnatumiwa kulisafisha jeshi kwa ujinga unaofanyika huko.sina shaka angefanyiwa ndugu yako wa kike usingesema hayo.wacha kubakwa na kuambukizwa ukimwi kama wanavyosema wadau wengi,vijana hasa wa kike wanateswa na wengine wanakufa.kuna wengine wanasema hawa wanajeshi ni binadamu kwahiyo waachiwe wabake kutimiza haja zao.bado najiuliza ingekua mama yake amefanyiwa hivyo angeunga mkono?nazidi kukubaliana na mdau mmoja aliyesema ni rahisi sana kuitawala tz na sababu alizitaja
 
ndio imeshatokea tena hakuna jinsi kama kaambukizwa hakuna jinsi zaidi ya kunywa madawa na kuishi kwa matumaini tu,ugonjwa huu nauogopa kama njaa.
Nalog off
 
Story za kutunga hizo, na hawafahamu chochote kinachoendelea jeshini, mtu ameenda jkt ya siku 90 anaona sasa anafahamu kila kitu kuhusu jeshi! mleta mada mtafute mwanajeshi yeyote unaemfahamu umuadithie kama hajakushangaa! huyo binti uliyesema alibakwa ni malaya huyo, acha kupoteza heshima ya jeshi, labda hao walikuwa ni vibaka tu waliovalia sare za jeshi ila sio askari wa jwtz,
(JWTZ-Jeshi la wakurya tangu zamani).
 
Vibaka waliovalia sare ya JWTZ wao walizitoa wapi? is it possible kweli kama tu huku kitaa ukivaa nguo inayofanana na yakwao utapigika kama dog wakichaa.. vipi huko.....?
 
huu ni uongo mkubwa na
upotoshaji, suala kama hilo kamwe lisingeweza kutokea halafu
perpetrators wasichukuliwe hatua.ubakaji jeshini utaanzia wapi, hivi
unajua what will happen thereafter??? ni unthinkable kufkiria jeshini
wamejaa barbarians, majitu yasiyo na huruma.yaani askari wengine
washuhudie binti anapelekwa kubakwa wasitoe taarifa?? na huyo binti
hakulalamika?? ushawahi kuskia military intelligence?? unajua kwamba
wapo kila kikosi?? unajua moja ya kazi zao ni kufuatilia code and
conduct za askari na maofisa?? mtu abakwe kikosini wasijue?? stop
fabricating issues that do not exist.

hapa umenena!
mm mwnyw nimepitia jkt, maswala ya kufanya mapenzi na ma afande ni makubaliano kati yenu nyie wawili! hamna ki2 kama kubakwa! na huyu msichana alivyokua anachukuliwa hadi mara ya 3 alikua hajui kwamba anapelekwa kubakwa? au? and kumalizia mleta mada"no research, no right to talk"
 
Vibaka waliovalia sare ya JWTZ wao walizitoa wapi? is it possible kweli kama tu huku kitaa ukivaa nguo inayofanana na yakwao utapigika kama dog wakichaa.. vipi huko.....?

Kama hii story hujaitunga ulidanganywa, ulimewahi kufika kambi gani ya jeshi wewe?
 
hapa umenena!
mm mwnyw nimepitia jkt, maswala ya kufanya mapenzi na ma afande ni makubaliano kati yenu nyie wawili! hamna ki2 kama kubakwa! na huyu msichana alivyokua anachukuliwa hadi mara ya 3 alikua hajui kwamba anapelekwa kubakwa? au? and kumalizia mleta mada"no research, no right to talk"

Naona mwenzangu umesahau ule usemi wa MICHEKA KOVU ASIYEFIKWA NA JERAHA....hayo makubaliano uliwahi kuyashuhudia au wewe ulikuwa wapi kipindi makubaliano yanafanyika....? tupe ufafanuzi tupate pa kuanzia.....
 
Nyie mnaotetea upumbavu unaofanyika jkt mko wachache.nahisi mnatumiwa kulisafisha jeshi kwa ujinga unaofanyika huko.sina shaka angefanyiwa ndugu yako wa kike usingesema hayo.wacha kubakwa na kuambukizwa ukimwi kama wanavyosema wadau wengi,vijana hasa wa kike wanateswa na wengine wanakufa.kuna wengine wanasema hawa wanajeshi ni binadamu kwahiyo waachiwe wabake kutimiza haja zao.bado najiuliza ingekua mama yake amefanyiwa hivyo angeunga mkono?nazidi kukubaliana na mdau mmoja aliyesema ni rahisi sana kuitawala tz na sababu alizitaja

Waambie maana watanzania ni wagumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau......
 
Hii story ni ya kutunga kuliko uhalisia mm nilipita JKT ile ya ukweli operesheni Vyama Vingi ambayo ndo ilikuwa ya mwisho kutumikia kpndi cha mwaka 1 baadae zikafuata 2 za miezi sita sita ndo zikakoma zikaja izi za sasa.Kiukweli hata enzi zile jambo kama hilo lisingewezekana bila makubaliano labda wakuteke.Tofauti na huyu eti walimchukua wakapiga kazi ,wakamrudisha wakamchukua tena duh,usanii mwinngine bwana.Nakuhakikishia ingekuwa kweli maaskari hao wangeshapigwa court Marshal,kifungo cha kijeshi miezi 3 baada ya hapo unakuja ku-face kesi ya uraiani.Kuhusu eti kama kaambukizwa ngwasuma naye akiamua kuambukiza ,hilo liko juu ya wawili anayeliwa na anayekula kama wewe ukienda kichwa kichwa badala ya kutumia kinga zilizoshauriwa hayo ni yako.Kubwa zaidi ...AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.

Yani bila hata kufikiri unasema habari hii ni ya kutunga. Hivi kule Kenya westgate ambapo jeshi liligoma kwamba hawakuchukua vitu, baada ya kuonyeshwa na cctv wakasema walichukua maji, hivi bado utasema ni habari za kutungwa? Mbona tunabisha mambo ambayo yapo wazi kabisa.

Kinacho takiwa ni majeshi yetu kuwa na nidhamu kwani wakosaji awakosekani. Hapa nikupambana na wanao chafua uzuri wa majeshi yetu. Tusiwe tunabisha tu kila kitu.
 
Vibaka waliovalia sare ya JWTZ wao walizitoa wapi? is it possible kweli kama tu huku kitaa ukivaa nguo inayofanana na yakwao utapigika kama dog wakichaa.. vipi huko.....?

Wewe unauliza wanakozipata hizo sare!! hawa waliokamatwa siku zilizopita hadi wakaoneshwa kwenye Tv walikuwa ni askari, kama ni walikuwa ni askari kwa nini wakamatwe wakati ni sare zao na kwamba polisi haruhusiwi kuingilia suala l jwtz, na kama ni kweli walikamatwa wakiwa sio askari wa jwtz jiulize hizo sare walizipata wapi????
 
Ingekua anaeandika hayo ni moshe dayan wa israel ningeshangaa sana.lkn dayan wa tz sishangai.hiyo misemo ya military intelligence,code of conduct na bla bla nyingine kwa jkt ni kama maneno yanayoandikwa kwenye khanga.hakuna kinachozingatiwa huko.wacha kubakwa kama wanavyosema wadau.vijana wanaasulubiwa huku wanaumwa mpaka wanakufa.mimi siandikii mate,binti yangu halima kitangilwa alisulubiwa huku ana malaria na amemeza dawa za mseto malaria.matokeo yake alianguka na kufa ghafla.ili kuziba ushenzi huu jkt hawakumfanyia post mortem na kudanganya kwamba alikufa na malaria.je unazungumzia code of conduct zipi hapa?hiyo military intelligence ni ipi?au ya kufunika madudu yao?
 
pole kwa kufiwa na mwanao...
 
Yan mpaka sasa sijajua mkweli nani ngoja niusome mchezo tu!
 
Adimu ukitaka kujua nani mkweli,fungua ukurasa wa facebook,search jina langu yaani rehani kitangilwa.kwenye hapo utakuta picha ya marehemu mwanangu halima kitangilwa kabla hajaenda msange jkt tabora na kuuawa huku tarehe 22.7.2013.pia utakuta picha ya lori la jeshi lililoleta mwili wa marehemu tarehe 26.7.2013 bila ya document muhimu za kuthibitisha sababu ya kifo chake yaani post mortem.pia utakuta barua niliyoandika kwa waheshimiwa wabunge kuhusu mazingira tata ya kifo cha mwanangu na kuomba tume huru ya uchunguzi.wakati naandika barua hiyo nilidanganywa kwamba malaria ilisababisha kifo.ni kweli aliugua malaria na akapewa dawa za mseto.lkn aliendelea kusulubiwa mpaka alipoanguka na kufariki ghafla.kama hujaridhika kwa maandishi haya nipigie simu mimi rehani kitangilwa tuonane ana kwa ana.simu yangu ni 0717034530.wapo wanaojifanya wameguswa na msiba huo na kunipigia simu.hao ni watu wachache na wametumwa kama akina gebo.nawahakikishieni mimi sitishiki na hilo.nitaendelea kusema na kuandika na ukweli unafunguka.
 
Pole sana kwa kufiwa na mwanao, hili jambo linaitaji msaada wa kisheria na popote penye uvunjivu wa sheria lazima hatua zichukuliwe!
 
Back
Top Bottom