Kama ni Kweli CCM Bado ni Chama

Kama ni Kweli CCM Bado ni Chama

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
19,551
Reaction score
26,203
Kwa nini wasianze upya kabisa baada ya zoezi la Oktoba 29?

Maana yake ni kwamba; CCM iliyo tufikisha hapa ifutike kabisa, kwa sababu imekuwa ni balaa kwa nchi hii.

Maana yangu ni kuwa, kila kinachohusika na CCM ya sasa kiishie Oktoba 29; watakaotaka kuendelea na chama hicho waanze upya kabisa kuanzia tarehe hiyo.

Kwamba wasiwe na mali za aina yoyote zinazohusishwa kuwa za chama hicho sasa hivi; kama ofisi, viwanja na hata wanachama wenyewe waanze upya.

Ngoja niishie hapa; lakini huenda mkuu 'Lord' akawa na ya ziada ya kuongezea.
 
Maelekezo ni yaleyale

Kufikia Oktoba 29 chochote chenye unasibu na CCM chomaaaaaaaa!

Ofisi zao, mashina yao, mali zao, vituo vya kupiga kura, makazi ya Viongozi wao, machawa wao hadi makazi yao na mali zao.

We chomaaaaaa! Wametugeuza Watanzania mazwazwa sana hawa wapumbavu.
 
Kiuhakika ni kwamba, ili Tanzania kama nchi iweze kupona na kuendelea mbele, CCM inabidi IFE. Iondoke kabisa, na kila takataka inayo husiana na chama hicho iondolewe kabisa kwenye mfumo wa nchi hii.

Nasikitika sana kuyasema haya juu ya chama alicho kiasisi Mwalimu Nyerere; lakini naamini hata yeye asingetegemea kuiona CCM kama hii tuliyo nayo sasa hivi.
 
Kutamani ni jambo moja kukipambania unachokitamani ni jambo jingine .

Kunawakati nilazima tukubali kuyapitia maumivu ili kulifikia lengo .

Wakuu tujue tunajukumu zito sana mbele yetu , ikiwa nikweli tumeamua liwalo naliwe wacha likawe vyovyote litakavyokuwa .

Tukichemka 29_10 tujue tumeisha mazima.
 
Kutamani ni jambo moja kukipambania ni jambo jingine .

Kunawakati nilazima tukubali kuyapitia maumivu ili kulifikia lengo .

Wakuu tujue tunajukumu zito mbele yetu .

Tukichemka 29_10 tujue tumeisha mazima.
Hili ndilo linalohitaji kuzingatiwa na waTanzania.
Hakuna kinachowezekana maishani kwa "kutamani" tu.

Kama ni mwanafunzi, ni lazima upambane, ujiandae ipasavyo kila mtihani ili ufaulu unachokitafuta huko. Huwezi kupita tu kwa kutamani uwe na kiwango fulani cha elimu; halafu ukipate bila kukipambania.

Maisha yote ya binaadam ni mapambano tu.

Hata hawa wanao tunyanyasa sasa hivi; hawakukaa na kutamani tu tuwe mateka wao; kwa sababu tunaziona kazi zao wanazozifanya kutudumisha kwenye hali hiyo.,

Wanaamua kutumia pesa nyingi kuwanunua wakuu wote wa vyombo vya ulinzi; mahakama; Tume ya uchaguzi na hadi sasa kwenye mashina, kwa mabalozi, ili wafanikiwe kubaki madarakani.

Sasa sisi tunaofanywa watwana, tutauondoaje huu utwana kwa "kutamani" tu uondoke, au wawepo watu wa kuuondoa kwa niaba yetu!

Hili ndilo jambo muhimu wanalotakiwa kulielewa waTanzania, na nina hakika wanalijuwa vyema. Tatizo ni wapi pa kuanzia tu; cheche muhimu itakayoanzisha moto wa kutisha.

Sasa nami nasema, kama cheche haitapatikana Oktoba 29, tutegemee itatoka wapi na lini.

Kama ni ujauzito, tayari mtoto anachungulia dunia akiwa katikati ya mapaja ya mama mzazi.

Hiyo ndiyo hali halisi iliyo nayo Tanzania kwa wakati huu.
 
Hili ndilo linalohitaji kuzingatiwa na waTanzania.
Hakuna kinachowezekana maishani kwa "kutamani" tu.

Kama ni mwanafunzi, ni lazima upambane, ujiandae ipasavyo kila mtihani ili ufaulu unachokitafuta huko. Huwezi kupita tu kwa kutamani uwe na kiwango fulani cha elimu; halafu ukipate bila kukipambania.

Maisha yote ya binaadam ni mapambano tu.

Hata hawa wanaotunyanyasa sasa hivi; hawakukaa na kutamani tu tuwe mateka wao; kwa sababu tunaziona kazi zao wanazozifanya kutudumisha kwenye hali hiyo.,

Wanaamua kutumia pesa nyingi kuwanunua wakuu wote wa vyombo vya ulinzi; mahakama; Tume ya uchaguzi na hadi sasa kwenye mashina, kwa mabalozi, ili wafanikiwe kubaki madarakani.

Sasa sisi tunaofanywa watwana, tutauondoaje huu utwana kwa "kutamani" tu uondoke, au wawepo watu wa kutondolea!

Hili ndilo jambo muhimu wanalotakiwa kulielewa waTanzania, na nina hakika wanalijuwa vyema. Tatizo ni wapi pa kuanzia tu; cheche muhimu itakayoanzisha moto wa kutisha.

Sasa nami nasema, kama cheche haitapatikana Oktoba 29, tutegemee itatoka wapi na lini?

Hiyo ndiyo hali iliyo nayo Tanzania kwa wakati huu.

Kama ni ujauzito, tayari mtoto anachungulia dunia akiwa katikati ya mapaja ya mama mzazi.
Kiasili watanzania siyo wepesi kwenye eneo la kujipigania , na sababu ya hilo ni moja tu .hatuna elimu ya uraia, Taifa lililokosa watu wenye ELIMU YA URAIA huwa ni Taifa mfu .

Cheche ni nyingi tu zilishajilipua hadi zikachoka .

Ila naimani hiyo tarehe 29_cheche itajitengeneza yenyewe ,maana kwa namna jamaa walivyokamia inaonyesha watatumia nguvu kuwadhibiti waandamanaji hapo watakutana na mistukizo ya matukio ,kupagawa kwao ndiyo kutakapotengeneza cheche kavu .

Natamani kinuke , hatima yangu iko mikononi mwa aliyeniumba
 
Maelekezo ni yaleyale

Kufikia Oktoba 29 chochote chenye unasibu na CCM chomaaaaaaaa!

Ofisi zao, mashina yao, mali zao, vituo vya kupiga kura, makazi ya Viongozi wao, machawa wao hadi makazi yao na mali zao.

We chomaaaaaa! Wametugeuza Watanzania mazwazwa sana hawa wapumbavu.
Hapana.

Binafsi nisinge shauri "kuchomaaaaaa" kila kitu
WaTanzania wakifanya hivi hawatakuwa tofauti sana na hao hao akina CCM (FEKI); kwa sababu haya haya ndiyo wanayo yafanya sasa hivi kwa kila anayepingana nao.

Hayo maofisi yakichomwaaaa kwa sababu za hasira za wananchi na kuonyesha 'drama' ya siku hiyo/hizo; hilo halitanistua sana, lakini kumbuka hata hizo ofisi kwa uhakika ni mali za waTanzania wote. Zisipo chomwa zitapata matumizi mengine kwa kazi za waTanzania.

Hao wana CCM, waTanzania wenzetu, wengi wao kwa sasa hivi nao ni mateka tu kama tulivyo sisi wengine tuliopo nje ya chama hicho
Wengi wa hawa, hasa viongozi kwenye ngazi mbalimbali wamekengeuka tu kwa kupigania maslahi; jambo ambalo ni lazima walifanye ndani ya chama hicho ili wainuke zaidi ndani ya chama.
Hawa badala ya "kwachomaaa"; ni kuwakusanya mambo yakisha tulia na kuwapa mafunzo ya kuwa binaadam tena kama sisi wengine wote

Hao wengine kama akina Samia, Kikwete, Wasira, Nchimbi na takataka zote huko juu, ni lazima wafikishwe mbele za sheria kujibu madhambi waliyo wafanyia waTanzania. Hawa kamwe hawaachwi wafaidi matunda ya uhalifu kwa waTanzania.
 
Kiasili watanzania siyo wepesi kwenye eneo la kujipigania , na sababu ya hilo ni moja tu .hatuna elimu ya uraia, Taifa lililokosa watu wenye ELIMU YA URAIA huwa ni Taifa mfu .

Cheche ni nyingi tu zilishajilipua hadi zikachoka .

Ila naimani hiyo tarehe 29_cheche itajitengeneza yenyewe ,maana kwa namna jamaa walivyokamia inaonyesha watatumia nguvu kuwadhibiti waandamanaji hapo watakutana na mistukizo ya matukio ,kupagawa kwao ndiyo kutakapotengeneza cheche kavu .

Natamani kinuke , hatima yangu iko mikononi mwa aliyeniumba
Oktoba 29, ni siku takatifu sana kwa taifa la Tanzania. Ni kama imepangwa maalum ili taifa hili litoke kwenye hali duni kabisa..

Hiyo siku kuwa ndiyo siku waliyo ichagua wao ili kuendeleza uovu wao; sasa itageuka na kuwa siku ya kuangamia kwao.

1. WaTanzania wote siku hiyo wapo wazi, hawana majukumu makubwa yanayo wafunga wasiwe kwenye ukombozi huu
2. Ni siku ambayo kila mmoja wetu haulizwi kwa nini unakwenda huko; kwa sababu kila mTanzania mwenye sifa anayo sababu ya kwenda kituoni (kuchafua kura).

3. Ni siku ambayo nchi nzima, Tanzania yote inashughulika na jambo hilo hilo moja (la uchafuzi)

4. Ni siku ambayo hakuna uwezekano wowote wa kuvitumia vyombo vya ukandamizaji kuwaumiza/ua waTanzania; kwa sababu hawapo wa kutosha

Kwa hiyo, katika mazingira ya namna hii, mTanzania aliyeumizwa kweli na mwelekeo wa nchi yetu, utashindwa vipi kutoa mchango wako muhimu wa kuleta mabadiliko katika nchi yetu?

Tunataka hadi iweje ndipo tustuke; na kuanza kulipa gharama kubwa zaidi ya maisha na damu za waTanzania!
 
Kiasili watanzania siyo wepesi kwenye eneo la kujipigania , na sababu ya hilo ni moja tu .hatuna elimu ya uraia, Taifa lililokosa watu wenye ELIMU YA URAIA huwa ni Taifa mfu .

Cheche ni nyingi tu zilishajilipua hadi zikachoka .

Ila naimani hiyo tarehe 29_cheche itajitengeneza yenyewe ,maana kwa namna jamaa walivyokamia inaonyesha watatumia nguvu kuwadhibiti waandamanaji hapo watakutana na mistukizo ya matukio ,kupagawa kwao ndiyo kutakapotengeneza cheche kavu .

Natamani kinuke , hatima yangu iko mikononi mwa aliyeniumba
Keyboard warrior detected
 
Keyboard warrior detected
"Keyboard warrior", ni bora mara mia; hebu jitazame mwenyewe, u-"warrior" wako ni nini hasa?

Unategemea 'assets' za waTanzania ziwalinde Samia na Genge lake; pamoja na mifugo yao kama nyinyi?

Hivi hata hamuonoi aibu waTanzania hao hao mnageuka na kuwanyanyasa kwa kutumia vyombo vyao kuwalinda nyinyi?
 
Mkuu umempa heshima sana kwa kutumia muda wako wathamani kumjibu . Watu kama hao huwa hawatoshei kujibiwa .

Tafiti zinaonyesha wengi wa masupporter wa CCM ni wale wenye hali mbaya siyo tu kiuchumi bali hata kwa kumiliki akili tu za kuvukia barabara.

Ma top cream ya CCM huwa hawanaga muda wa kijitetea so next time viswaswadu kama hivi vikikujia kwenye njia yako don't bother yourself, just ignore them for good .
 
Kwa nini wasianze upya kabisa baada ya zoezi la Oktoba 29?

Maana yake ni kwamba; CCM iliyo tufikisha hapa ifutike kabisa, kwa sababu imekuwa ni balaa kwa nchi hii.

Maana yangu ni kuwa, kila kinachohusika na CCM ya sasa kiishie Oktoba 29; watakaotaka kuendelea na chama hicho waanze upya kabisa kuanzia tarehe hiyo.

Kwamba wasiwe na mali za aina yoyote zinazohusishwa kuwa za chama hicho sasa hivi; kama ofisi, viwanja na hata wanachama wenyewe waanze upya.

Ngoja niishie hapa; lakini huenda mkuu 'Lord' akawa na ya ziada ya kuongezea.
Kwanini mnapenda kuwaza vitu ambayo ni " too imaginary"?
 
Hapana.

Binafsi nisinge shauri "kuchomaaaaaa" kila kitu
WaTanzania wakifanya hivi hawatakuwa tofauti sana na hao hao akina CCM (FEKI); kwa sababu haya haya ndiyo wanayo yafanya sasa hivi kwa kila anayepingana nao.

Hayo maofisi yakichomwaaaa kwa sababu za hasira za wananchi na kuonyesha 'drama' ya siku hiyo/hizo; hilo halitanistua sana, lakini kumbuka hata hizo ofisi kwa uhakika ni mali za waTanzania wote. Zisipo chomwa zitapata matumizi mengine kwa kazi za waTanzania.

Hao wana CCM, waTanzania wenzetu, wengi wao kwa sasa hivi nao ni mateka tu kama tulivyo sisi wengine tuliopo nje ya chama hicho
Wengi wa hawa, hasa viongozi kwenye ngazi mbalimbali wamekengeuka tu kwa kupigania maslahi; jambo ambalo ni lazima walifanye ndani ya chama hicho ili wainuke zaidi ndani ya chama.
Hawa badala ya "kwachomaaa"; ni kuwakusanya mambo yakisha tulia na kuwapa mafunzo ya kuwa binaadam tena kama sisi wengine wote

Hao wengine kama akina Samia, Kikwete, Wasira, Nchimbi na takataka zote huko juu, ni lazima wafikishwe mbele za sheria kujibu madhambi waliyo wafanyia waTanzania. Hawa kamwe hawaachwi wafaidi matunda ya uhalifu kwa waTanzania.
Mfumo wa kukumbatia wasaliti haukubaliki, "Once a traitor...always a traitor!"

CCM wote walioko kwenye decision making positions kwa sasa na hawa exercise power yao kukemea maovu na ku take actions ikibidi kujiengua badala yake wanaji "embed" kwenye udhalimu kulinda maslahi yao tu ni lazima wawe disloged kwenye chama.

Hatuwezi kuendelea kupalilia kizazi cha wanafiki na wasaliti. Hiki ndio kimetufikisha hapa tulipo leo. Mtu hawezi kuwa mkweli akihofia tu atafukuzwa kazi au atafutwa madarakani.
 
Kutamani ni jambo moja kukipambania unachokitamani ni jambo jingine .

Kunawakati nilazima tukubali kuyapitia maumivu ili kulifikia lengo .

Wakuu tujue tunajukumu zito sana mbele yetu , ikiwa nikweli tumeamua liwalo naliwe wacha likawe vyovyote litakavyokuwa .

Tukichemka 29_10 tujue tumeisha mazima.
Hapana watu wakichemka tarehe 29, wanaweza kujipanga na kurudi tena tarehe 30
 
Kutamani ni jambo moja kukipambania unachokitamani ni jambo jingine .

Kunawakati nilazima tukubali kuyapitia maumivu ili kulifikia lengo .

Wakuu tujue tunajukumu zito sana mbele yetu , ikiwa nikweli tumeamua liwalo naliwe wacha likawe vyovyote litakavyokuwa .

Tukichemka 29_10 tujue tumeisha mazima.
Na huu ndo mwendo.

Hii nchi ilipofika ili iweze kupona ni lazima tukubali kuumia sehemu ili tuweze jenga vizuri na upya kwa umakini.

Hiyo Oktoba 29 chochote chenye unasibu na CCM na udhalimu wao we kiangamize.

Usisubiri mtu akuone au akushawishi. Weka mafuta na utambi kwenye chupa washa moto chomaaaaa.

Tukiweza angamiza hata asilimia 50 ya Ofisi zao, vituo vya kupiga kura na mali zao watatuheshimu wananchi hawa washenzi.
 
CCM ya sasa siyo chama! Ni genge tu la wahuni wachache wanaotumia njia zao haram kujilimbikizia mali na madaraka ndani ya nchi.
 
That party has outlived its usefulness and will undergo a sponteneous combustion soon.

Not necessarily on a certain date though processes on a certan date might serve as initiator for the self exploding mechanism.

LOL!

Trying my hand at prophecy.
 
Kwanini mnapenda kuwaza vitu ambayo ni " too imaginary"?
Akili yako hata huko kuwaza tu haiwezi, kwa sababu ya tabia ya utegemezi mlio uzoea. Kila kitu maishani mwenu ni kuwa tegemezi tu kwa wengine. Kwa hiyo hata akili ya kuwaza chochote haipo. Mifugo ndivyo ilivyo hivyo.
 
Hatuwezi kuendelea kupalilia kizazi cha wanafiki na wasaliti. Hiki ndio kimetufikisha hapa tulipo leo. Mtu hawezi kuwa mkweli akihofia tu atafukuzwa kazi au atafutwa madarakani.
Hawa ndio wamekiumiza vibaya sana hiki chama; vibaya zaidi hata kuwazidi hao wanaowapa amri!
 
Back
Top Bottom