Kama ni kweli, basi NECTA ni janga

Hivi turudi kwenye katiba inasemaje kwa wateuliwa na wawakilishi wawe na kiwango gani cha elimu na hapo ndo tutapata ubora wa hoja na kuweza kueleweshana
 
div zero ndo znahitajika ktufikisha katika uchumi wa kati
 
zero kutokupata cheti ilianza miaka ya mwisho ya uongozi wa Mkapa so its most probably the time anamaliza zero pia zilikuwa bado zinapata cheti
 
Nilidhan pekeyangu nashangaa kumbe tuko wengi. Cheti cha zero kilitolewa mwaka gan? Baraza halitoi cheti kwa div zero. Mchungaji kafumka, inawezekana anacho. Tusubiri tuone, au kakitengeneza yeye mchungaji!!! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nyie bado watoto,vyeti vya ziro vilikuwa vinatolewa na baraza
 
Nilidhan pekeyangu nashangaa kumbe tuko wengi. Cheti cha zero kilitolewa mwaka gan? Baraza halitoi cheti kwa div zero. Mchungaji kafumka, inawezekana anacho. Tusubiri tuone, au kakitengeneza yeye mchungaji!!! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
So ame prints result statement
 
Ungeuliza kwanza kuanzia mwaka gani necta waliacha kutoa vyeti kwa waliopata div. 0 kisha u- compare na mwaka aliosoma Daudi.
 
Umemaliza mkuu!
 
umekujakuja kujitete kwa hoja dhaifu???? tuonyeshe vyet mkuu[emoji23]
 
Do not waste your time for just hearsay contradiction gossip.Its very absurd for the so called respected priest can not diffentiate the fact and fiction,too bad.
Eventually, mkuki kwa nguruwe bhana. Anyway it is the kick of dying horse.
 
Nilidhan pekeyangu nashangaa kumbe tuko wengi. Cheti cha zero kilitolewa mwaka gan? Baraza halitoi cheti kwa div zero. Mchungaji kafumka, inawezekana anacho. Tusubiri tuone, au kakitengeneza yeye mchungaji!!! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Vilikuwa vinatolewa,vilizuiliwa miaka ya nyuma,nina MTU nayemfahamu pia anacho,vilizuiliwa awamu ya NNE kama sijakosea sana
 
Na huyu aliyepata cheti cha mwenzie na kuwa nacho ofisini, kakipataje na kwa mamlaka ya nani, na yeye hata akae na nyaraka ya serikali isiyomuhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…