gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
nimejaribu kufuatilia hili suala la Raisi kuteuwa wabunge 6 wanaume, maoni yangu ni kwamba,kama ni kinyume cha katiba Raisi si,atengue uteuzi wa mmoja wa hao aliowachagua na kusema wazi kwamba ni kinyume cha katiba, hasa ukizingatia kwamba yeye ni msema kweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu