kama ni ivi.....sili tena mkate

Utaacha vingi sana mkuu. Ukimchunguza sana kuku hutamla!
 
Usile kabisa mkuu itakusaidia kubana matumizi!
 
Huwa wanakanda unga na miguu wamevaa kanda2 za chooni.
 
Kama kula ushakula sana tena kipindi cha nyuma ambacho hakukua ata na mashine ya kukandia ndo ilikua balaa kabisa
 
Hapo akiachia maudenda na vijambo vinaongeza ladha ya mkate, huna haja ya Blueband.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…