TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Nd. Tandale hukuelewa, Dr. hakusema ataleta treni ya umeme ndani ya siku 100 bali baada ya mwaka mmoja wa kuwa Rais ataanzisha mchakato wa kupata treni inayosafiri kwa kasi na ya uhakika kuliko ilivyo sasa. Unashangaa nini? au unafurahia akinamama na watoto wanavyotaabika kwenye usafiri wa sasa. TANZANIA YENYE USAFIRI WA KISASA INAWEZEKANA.
Nd. Tandale hukuelewa, Dr. hakusema ataleta treni ya umeme ndani ya siku 100 bali baada ya mwaka mmoja wa kuwa Rais ataanzisha mchakato wa kupata treni inayosafiri kwa kasi na ya uhakika kuliko ilivyo sasa. Unashangaa nini? au unafurahia akinamama na watoto wanavyotaabika kwenye usafiri wa sasa. TANZANIA YENYE USAFIRI WA KISASA INAWEZEKANA.
Siku 100!:tape2:
Nina wasiwasi sana na uwezo wako wa kuelewa mambo. Uliwahi kupatwa na degedege wakati wa utoto wako?Hivi ni kweli kuna watu bado wanauza kura zao hapa Tanzania??????
Hivi ni kweli kuna wanasiasa viongozi mabingwa wa kufoji risiti????
Na ni kweli kwamba siasa zetu zimetawaliwa na blah blah kuliko ishu za msingi???
Hivi jamani ni kweli siku 100 zinatosha kuwa kupata treni ya umeme????
Vipi kuhusu fly overs!!!!!???Na ni kweli kwamba Tanzania siasa ni mchezo wa kuigiza????
Na wale jamaa hivi kweli walimaanisha wanachosema???Kwamba kuna watu wananunua watu kuchafua watu?????Kwa faida ya nani????Hivi tunaweza kuwa na kinga dhidi ya tatizo la kiuchumi la dunia pindi litokeapo????
Hivi kweli kuna mtu mkamilifu???Mbona wanajiita wakamilifu????Kuna watu wamekula fedha ya kusaidia yatima Tanzania???Laaaaaaaaaana!!
Jioni ina maswali sana!!
Wikendi njema ndugu zangu.
Hao wote ni waganga njaa tu wakichemsha watarudi tu kwa mzazi wao CCMAm confused man.Na yule jamaa aliyeugua tumbo K'koo na kuiponda CCM jana kaanza kuisifia!!Doh!
Nina wasiwasi sana na uwezo wako wa kuelewa mambo. Uliwahi kupatwa na degedege wakati wa utoto wako?
Hao wote ni waganga njaa tu wakichemsha watarudi tu kwa mzazi wao CCM
Ila ndo wanakuwa washacheza na akili za wananchi!!!Mi kura yangu CCM
Nani kakuuliza?hakuna mwenye haja ya kujua kura yako inaenda wapi.
Wamezoea BANA kuwa duni tusiwalaumu wadanganyika Mambo ya ukweli hawataki wanataka Blah blah Chagua Dr.Slaa Upate maendeleo kwani Huyu na Chama Chake Kabla na tokea Uhuru mpaka sasa kuna sehemu wanafunzi wanaenda kwa miguu bila viatu huku wakibeba mabango ya CCM sasa hawa Tuwaiteje?? Ukiona Mtu amechoka Ni fukara lakini anabango la CCM anayempigia kura yupo Dar amejenga Ghorofa. Shime jamani tunahitaji Democray ya Ukweli kwani haya ya CCM Tumeyazoea sana. Mabadiliko Mbele Daima :welcome: Dr. Slaa Rais wa Ukweli
Am a doctor by profession i know what i asked you, and am serious on that. nimefuatilia post zako nyingi. anyway sijui level yako ya elimu , lakini naona unashindwa kuelewa mambo madogo tu! kama hata unashindwa kumuelewa slaa anasema nini, we have to put big question mark! Silaa hajasema mambo hayo yatakuwa tayari within 100days. Anachosema ni kwamba within 100 days mambo yatakuwa kwenye pipeline. sasa unashindwa kuelewa hata hilo ndugu yangu!Now this kind of people is exactly what am talking about!!!!:confused2:
Am a doctor by profession i know what i asked you, and am serious on that. nimefuatilia post zako nyingi. anyway sijui level yako ya elimu , lakini naona unashindwa kuelewa mambo madogo tu! kama hata unashindwa kumuelewa slaa anasema nini, we have to put big question mark! Silaa hajasema mambo hayo yatakuwa tayari within 100days. Anachosema ni kwamba within 100 days mambo yatakuwa kwenye pipeline. sasa unashindwa kuelewa hata hilo ndugu yangu!