Kama ni dhambi vyombo vya habari vimetenda dhambi kubwa sana

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Kama ni dhambi vyombo vya habari vimefanya dhambi kubwa sana
(1)mkutano wa wanasheria uliofanyika leo arusha ulikuwa,na masilay makubwa sana ya wananchi wa Tanzania
(2)kama kingetokea chombo chochote cha habari kikarushwa mkutano ule live,hiyo TV ingejiongezea watanzamaji wengi sana
(3)jambo hili linamasilai makubwa sana,kwa wananchi,kwa hiyo kulikuwa,na umuhimu mkubwa sana wananchi kuona hili tukio live
Swali,ni je ni nini kilichosibu vyombo wa habari?ni amri kutoka juu,kama ile ya kuzima bunge?au ni vyombo vya habari havina ubunifu?
 
achane mambo ya kijingajinga yaani mawakili mnapiga pesa kila mahali halafu mnataka wenye media zao wawape free air , kwa nini msilipie na huu mkutano mnaongeza thamani sana na bahat mbaya ni huku tu mtandaoni wakati watu wako busy na KILIMO KWA SASA
 
vyombo vya habari vipo kwa maslahi ya watawala sio watawaliwa, zama za hapa sio wengi wape ni mwenye nguvu mpe
 
Hata wasiporusha taarifa watanzania watazipata tena sahihi kuliko ambazo zingerushwa na vyombo hivyo. Warushe tu zile ambazo watapongezwa na watawala
 
Inamaana bashite ana umuhimu mkubwa sana,kuliko wanasheria wote nchi hii?
 
Kama ni dhambi vyombo vya habari vimefanya dhambi kubwa sana
(1)mkutano wa wanasheria uliofanyika leo arusha ulikuwa,na masilay makubwa sana ya wananchi wa Tanzania
(2)kama kingetokea chombo chochote cha habari kikarushwa mkutano ule live,hiyo TV ingejiongezea watanzamaji wengi sana
(3)jambo hili linamasilai makubwa sana,kwa wananchi,kwa hiyo kulikuwa,na umuhimu mkubwa sana wananchi kuona hili tukio live
Swali,ni je ni nini kilichosibu vyombo wa habari?ni amri kutoka juu,kama ile ya kuzima bunge?au ni vyombo vya habari havina ubunifu?
Kwani Wahandisi sio muhimu? Mbona mikutano yao haioneshwi live.
 
achane mambo ya kijingajinga yaani mawakili mnapiga pesa kila mahali halafu mnataka wenye media zao wawape free air , kwa nini msilipie na huu mkutano mnaongeza thamani sana na bahat mbaya ni huku tu mtandaoni wakati watu wako busy na KILIMO KWA SASA
Huo ubusy na kilimo unatoka wapi kwa sasa wewe zumbukuku?Serikali imewaandalia au imewaletea nini hao wakulima???
2017-01-07-01-22-41-1011421180.jpeg
 
Huo ubusy na kilimo unatoka wapi kwa sasa wewe zumbukuku?Serikali imewaandalia au imewaletea nini hao wakulima???
View attachment 482559

Du we kweli bure kabisa. Nchi gani inamwambia mkulima alime. Kwa viazi vyake. Watu tunachoma mahindi. We unapga kelele kama kitoto kichanga. Eti Serikali. Nchi kma. Tz maskini. Kupindukia ..
 
Back
Top Bottom