kama ndo wewe?

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
jamaa mmoja aliiba tv akaibeba
kisha akaanza kukimbia nayo
kumbe kwenye ile nyumba
aliongia kulikuwa na mgonjwa wa
akili akaanza kumkimbiza yule
mwizi kila mwizi akiongeza mbio mwenzie huyu hapa kuona hivyo
yule mwizi akasalimu amri ikabidi
asimame yule mgonjwa wa akili
akamsogelea na kumwambia
daaah umesahau na rimoti hii
hapa...
 
daa sijui lini niliiona dooo kitambo sana nway asante kwa kunichangamsha maana bila kucheka utakonda bure..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…