Jamani kama ni wewe ndiyo umeambiwa hivi utafanyaje mwanzoni
"...inaumiza hata kukueleza mpenzi, najua utalia ukickia, ni siri ambayo niliificha kwa muda mrefu, ni kwamba mwenzio nimeathirika na gonjwa hatari la

Kwa wale wanaopenda kuendesha magari huku wanatumia simu zao nadhani msg kama hii huleta maafa kwao maana haikupi nafasi ya kuimalizia kwani unakuwa tayari umepata jibu mwanzoni tu. Si msg nzuri kwa wapendanao.