Kama ndiyo wewe umeambiwa hivi na mpenzi wako!!!!

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Jamani kama ni wewe ndiyo umeambiwa hivi utafanyaje mwanzoni
"...inaumiza hata kukueleza mpenzi, najua utalia ukickia, ni siri ambayo niliificha kwa muda mrefu, ni kwamba mwenzio nimeathirika na gonjwa hatari la

kukumiss"
 
utani mwingine siyo unaumiza
 
mmmmmh, hata, napita hapa. Inabidi ajue bp yako kwanza, anaweza kukosa mwana na maji ya moto.
 
Kwa wale wanaopenda kuendesha magari huku wanatumia simu zao nadhani msg kama hii huleta maafa kwao maana haikupi nafasi ya kuimalizia kwani unakuwa tayari umepata jibu mwanzoni tu.
Si msg nzuri kwa wapendanao.
 
Hehehehe......! Hii kali....! Nami nitamshushia chozi kali, naye atajua chozi hilo ni la nini........!
 
Back
Top Bottom