Kama nchi tumepitia mengi sana

Kama nchi tumepitia mengi sana

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,555
Reaction score
4,081
Kuna kipindi enzi za zamani Mkuu wa Mkoa alikuwa kama Amiri Jeshi Mkuu msaidizi. Kama nchi tumetoka mbali sana, unakumbuka hii.


IMG_8598.png
 
Lakn tukiweka pembeni zile sifa za kijinga za kijana. Jamaa alikuwa anapiga kazi.. Mm naona bora hata ya makonda kuliko huyu wasasa
 
Vijana mkipewa madaraka mnatumika kuumiza wenzenu tena bila woga mnataka kuwatwanga hadi wastaafu
 
Back
Top Bottom