Kama na hizi nazo tutazinywa kwa nusu bei,basi naiombea Taifa Stars ushindi

KIKUBIJI

Senior Member
Apr 29, 2017
117
124
Ikiwa ni agizo LA mkuu Wa mkoa DSM endapo stars itashinda dhidi ya cranes wanywaji tutasherekea kwa punguzo La nusu bei,isiishie kwenye bia tu mtuangalie na sisi watumiaji Wa hii mambo.
IMG_20190323_234322.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom