Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,121
Luckily ,Mpaka nakuwa mtu mzima sijawahi kuona dada yangu akienda disco wala kuvaa suruali si unajua pale maskani zetu tunataniana na mabro ...sasa kama dada yako chatoka wanakutania utajisikia vibaya ila sisters zangu walinipa respect sana mpaka wameolewa miaka zaidi ya 15 wapo kweny ndoa .Kipindi wakati nakua nakumbuka mabro ndo walikuwa kama walinzi. Wakikuona tu na kajamaa iwe chocho ama hadharani, utatimuliwa mpaka nyumbani na hapo jamaa anachimbwa mkwala mzito balaa. Ukirudia unapigwa (sister wangu alishapigwa)
Hivi makaka wa hivi waliendaga wapi? Siku hizi wengi wapo kidigitali sana!
Tineja life bro. Unatakiwa umsaidie bado ana wengehivi kama mzazi yaani baba,mama
Au kaka,ndugu kwa kuona tukio la huyu mtoto utajisiaje??
Any way naona kabinti ana kachura fulani .....
Ova
Mshana Jr
cocastic
King Kong III
Nakadori
anasbo View attachment 2564067
Ila kama wangekuwa ni chatoka mkuu si ingekuwa unamind? Au ungechukulia poa tu acha waende na wakati!Luckily ,Mpaka nakuwa mtu mzima sijawahi kuona dada yangu akienda disco wala kuvaa suruali si unajua pale maskani zetu tunataniana na mabro ...sasa kama dada yako chatoka wanakutania utajisikia vibaya ila sisters zangu walinipa respect sana mpaka wameolewa miaka zaidi ya 15 wapo kweny ndoa .
Sijawahi kuona dada zangu wamevaa mawigi ,nguo fupi ,wala suruali zaidi ya zile za shule fully na hijabu wala kwenda disco 😂😂
Ningemaind kinoma 😂😂ila kwetu mzee wangu dini kali wasingeweza.Ila kama wangekuwa ni chatoka mkuu si ingekuwa unamind? Au ungechukulia poa tu acha waende na wakati!
Wasanii watamrarua sana
Na hawa binti zetu wakishasikia msanii,k anampa bureee
Ova
Bado tupo sema mambo yamekua mengi 😀😀Kuna siku nirusha Kofi lilokusanya pua mdomo na macho nikaanza kuambiwa habari za ukatili sijui Nini niniKipindi wakati nakua nakumbuka mabro ndo walikuwa kama walinzi. Wakikuona tu na kajamaa iwe chocho ama hadharani, utatimuliwa mpaka nyumbani na hapo jamaa anachimbwa mkwala mzito balaa. Ukirudia unapigwa (sister wangu alishapigwa)
Hivi makaka wa hivi waliendaga wapi? Siku hizi wengi wapo kidigitali sana!
Unaanzaje kumpiga dada yako aliyekuzidi gpa 😄Kipindi wakati nakua nakumbuka mabro ndo walikuwa kama walinzi. Wakikuona tu na kajamaa iwe chocho ama hadharani, utatimuliwa mpaka nyumbani na hapo jamaa anachimbwa mkwala mzito balaa. Ukirudia unapigwa (sister wangu alishapigwa)
Hivi makaka wa hivi waliendaga wapi? Siku hizi wengi wapo kidigitali sana!
Nimepoteza 8mb tayarihivi kama mzazi yaani baba,mama
Au kaka,ndugu kwa kuona tukio la huyu mtoto utajisiaje??
Any way naona kabinti ana kachura fulani .....
Ova
Mshana Jr
cocastic
King Kong III
Nakadori
anasbo View attachment 2564067
Jitahidini tu hivo hivo.Bado tupo sema mambo yamekua mengi 😀😀Kuna siku nirusha Kofi lilokusanya pua mdomo na macho nikaanza kuambiwa habari za ukatili sijui Nini nini
Ili tukimbizane dawati la jinsia sijui na Nini halafu nchi pia ituchukie??Jitahidini tu hivo hivo.
Mabro huwa mnasaidia sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi kuanzia miaka 10 hadi 70s wote wanalilia mihogo
Muache akapate haki yake si ameamua bwana
Harmonize anaiiita ndizi ya kumenyaa
Acha apewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani!
Umri ule anajibu tunasumbuana!! Toba[emoji134][emoji134]
Kama yupo kwake achana nae.Unaanzaje kumpiga dada yako aliyekuzidi gpa 😄
Hivi mtu anasomeshwa kwa mamilioni ya shs alafu bado hajui jinsi ya kufanya maamuzi kwa mambo madogo kama haya si ni hasara aiseeeeKama yupo kwake achana nae.
Ila kama yupo home unamuonya tu ajitahidi kubehave!
Dawati la jinsia kwa issue ndogo kama hiyo?!Ili tukimbizane dawati la jinsia sijui na Nini halafu nchi pia ituchukie??