Uuuuwwwwwwiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watoto wetu wa kiume, Mungu Tusaidie kuwalinda, Khaaaaaaaaaa!! Tunakuomba ututajie shule , Pls, Pls, Taja shule, ili huyo mlinzi achukuliwe Hatua pamoja na hiyo shule.
Nawaombeni wazazi wenzangu msipeleke watoto boarding school mpk wajitambue na waweze kujieleza wanapotendewa baya. Please wazazi wenzangu.
CC Smile, Nyumba kubwa, Gfsonwin
ki ukweli imeniuma.hata kwenye mtandao kutaja unaona ugumu gani?hujui kama na wewe mwenyewe unalifumbia macho?just imagine huyo angekuwa mtoto wako.mambo ya kuficha ficha haya,ndio yanazidi kuongeza tatizo badala ya kutatua tatizo
ndo maana mambo ya boarding siyataki kabisa mie.......
Kingine ndugu walojazana majumbani hawana mwelekeo pia ni hatari kwa watoto
Tatizo wengine hiyo form one ndio ana miaka 13 kama ilivyoonekana kwenye kesi hii tunayoijadili hapa.
Huyu mtoto aliyelawitiwa alikuwa wa kike au wa kiume?
:A S cry::target::target::target::target::target::fencing::fencing::fencing::bowl::bowl:TUTAJIE JINA LA SHULE!:fencing::rofl::target::target::target::target: